MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Makamu wa Rais Asisitiza Ubunifu, Uwekezaji Soko La Hisa La Dar es Salaam
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Makamu wa Rais Asisitiza Ubunifu, Uwekezaji Soko La Hisa La Dar es Salaam
Habari

Makamu wa Rais Asisitiza Ubunifu, Uwekezaji Soko La Hisa La Dar es Salaam

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
2 Min Read
Na Lucy Ngowi
MAKAMU wa Rais, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amewahimiza watendaji wa Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) kufanya kazi kwa bidii na kuwa wabunifu katika masuala ya masoko, huku wakilenga kuvutia uwekezaji zaidi.
Dkt. Nchimbi amezungumza hayo leo, Februari 13, 2026, jijini Dodoma, alipokutana na kufanya mazungumzo na Mtendaji Mkuu wa DSE, Peter Nalitolela.
Kwa upande wake, Mtendaji Mkuu wa DSE ameahidi kuendelea kushirikiana kwa karibu na Serikali katika kutafuta mitaji, ili kusaidia utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, yenye lengo la kufikia uchumi wa Dola za Marekani Trilioni Moja ifikapo mwaka 2050.
Habari Picha 11238
Soko la Hisa la Dar es Salaam ni taasisi ya kimkakati ya taifa inayowezesha ukusanyaji na usimamizi wa mitaji ya muda mrefu kwa ajili ya kufadhili maendeleo ya uchumi wa Tanzania.
DSE ni jukwaa rasmi linalowawezesha wawekezaji wa ndani na wa kimataifa kufanya biashara ya hisa, hati fungani, na bidhaa nyingine za kifedha katika mazingira yenye uwazi na utawala bora.
Thamani ya jumla ya soko la hisa la Dar es Salaam ni Sh. Trilioni 31.9, ikiwa na jumla ya wawekezaji waliosajiliwa 779,000.
Soko la Hisa la Dar es Salaam ni mwanachama wa Masoko ya Hisa ya Dunia, Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC).
Habari Picha 11239
Habari Picha 11240
Habari Picha 11241
Habari Picha 11242
Habari Picha 11243
Habari Picha 11244
Habari Picha 11245

You Might Also Like

VETA Yaondoa Sare Kwa Wanafunzi

Baraza La Madiwani Lampongeza Rais Samia Kwa Utekelezaji Wa Ilani

Pinda Aitaka Jamii Kujikita Upandaji Miti Bila Kusubiri Matukio Maalumu

Mtafiti UDSM Atafiti Mimea Ya Asili Kudhiti Fangasi Kwenye Mimea

Mdemu Azindua Utafiti Uliofanywa na FES Kwa Kushirikiana Na COTWU – T

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article JAB Yasisitiza Ithibati Kama Njia ya Kuimarisha Ubora na Uaminifu wa Habari
Next Article Tanzania Yalenga Kufikia Asilimia 51 Ya Ushiriki Wa Wanawake Katika Sayansi
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Mnyama Check App: Ubunifu Wamtoa Mfugaji Gizani hadi Kidijitali
Makala August 18, 2026
Waziri Mkenda Kuzindua Wiki Ya Elimu,Ujuzi Na Ubunifu,Washiriki Takriban 300 Waonesha Bunifu Mbalimbali
Habari August 17, 2026
VETA Kibaha Yatengeneza Simu Ya Mkononi Yenye Uwezo Wa Kupiga Na Kutuma Sms
Habari August 17, 2026
Wiki Ya Elimu, Ujuzi Na Ubunifu,UDSM Yabuni Dema La Kidigitali La Milango Sita Kusaidia Wavuvi
Habari August 17, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?