MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: TUCTA: Wafanyakazi Jitokezeni  Kwa Wingi Kwenda Kupiga Kura Mchague Viongozi Watakaolinda  Maslahi Yenu  
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > TUCTA: Wafanyakazi Jitokezeni  Kwa Wingi Kwenda Kupiga Kura Mchague Viongozi Watakaolinda  Maslahi Yenu  
Habari

TUCTA: Wafanyakazi Jitokezeni  Kwa Wingi Kwenda Kupiga Kura Mchague Viongozi Watakaolinda  Maslahi Yenu  

Author
By Author
Share
2 Min Read

Na Mwandishi Wetu

SHIRIKISHO  la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA) limetoa wito kwa Wafanyakazi wote nchini kujitokeza kwa wingi Oktoba 29 kwenda kupiga kura ili kupata Viongozi watakaowaongoza kwa kipindi kingine cha miaka mitano ijayo.

Rais wa  TUCTA  Tumaini  Nyamhokya  ametoa wito huo alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari jijini Arusha lengo likiwa ni kutoa hamasa pamoja na kuwakumbusha wafanyakazi kuhusu umuhimu wa kushiriki katika uchaguzi Mkuu ujao.

Habari Picha 10170

Amewataka Wanafanyakazi kujitokeza kwa wingi Oktoba 29, 2025 kwenda kupiga kura ili tuweze kuwachagua viongozi watakaojali maslahi ya Wafanyakazi.

“Narejea Kauli mbiu yetu ya Mei Mosi 2025, “Uchaguzi Mkuu wa 2025 utuletee viongozi wanaojali haki na maslahi ya maslahi ya Wafanyakazi, Sote Tushiriki’. Sasa ni wakati wa kwenda kutekeleza kwa vitendo kauli mbiu yetu ili tuhakikishe mika mitano ijayo mambo yetu yanaendelea kuwa safi. Shime sote tushiriki,” amesisitiza .

Habari Picha 10171

Katika hatua nyingine  Rais wa TUCTA ametumia mkutano huo kumshukuru Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kazi nzuri na utayari wake kuendelea kutatua changamoto mbalimbali za wafanyakazi na kuzipatia uzito hoja zao zinazowasilisha kwake kisha akataja kwa kifupi machache ambayo amewafanyia wafanyakazi katika kipindi cha uongozi wake.

Katika mkutano huo na wana habari Rais wa TUCTA ameambatana na Katibu Mkuu wa Shirikisho hilo la

Wafanyakazi Tanzania  Hery Mkunda pamoja na Wanachama kutoka Vyama Shiriki vinavyounda TUCTA waliopo katika Jiji la Arusha na mikoa jirani.

Habari Picha 10172

 

You Might Also Like

Wakazi Wa Ntyuka Wataka Kiongozi Mchapakazi

DIB: Wenye Amana Benki Zilizofungwa Kulipwa Ndani ya Mwezi Mmoja

Dkt. Majule Ahoji Hatua za Kulinda Wananchi Dhidi ya Mikopo Hatari

Tanzania Ina Utolevu Wa Chakula Kwa Miaka Minne Uongozi Wa Samia

Mradi wa Maadili Katika Utafiti Wa Binadamu Na Huduma Za Afya Wafanywa UDSM kwa Ushirikiano wa Kimataifa

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Jeshi La Polisi Kufanya Ukaguzi Wa Hali Ya Juu Kwa Mashabiki Katika Mechi Za Simba Na Yanga
Next Article Mwalim: Mchagueni Mwalimu Wangu Wa Siasa Shibuda
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Mbunge Asisitiza Sheria za Majiko Safi Ili Kulinda Mazingira
Habari February 3, 2026
Mwalunenge: Bila Rasilimali Watu Na Mtaji, Mipango Ya Kilimo Haitafanikiwa
Habari February 3, 2026
Gulamali Ahoji Bungeni Changamoto ya Mawasiliano Ilongelo
Makala February 3, 2026
Serikali Yaendelea Kuimarisha Uhuru wa Mahakama – Nchimbi
Habari February 2, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?