MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: MWALIM AOMBA WATANZANIA KUMWOMBEA WIKI YA MWISHO KUELEKEA UCHAGUZI
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > MWALIM AOMBA WATANZANIA KUMWOMBEA WIKI YA MWISHO KUELEKEA UCHAGUZI
Habari

MWALIM AOMBA WATANZANIA KUMWOMBEA WIKI YA MWISHO KUELEKEA UCHAGUZI

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
1 Min Read
Na Mwandishi Wetu
TABORA: MGOMBEA urais kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalim, amewaomba Watanzania kumwombea katika wiki hii ya mwisho kuelekea siku ya kupiga kura, Jumatano, Oktoba 29, 2025.
Akizungumza mjini Tabora, Mwalim amesema:
“Nawaombeni Watanzania, kila mmoja kwa imani yake  awe Muislamu aniombee msikitini, na Wakristo wafanye hivyo makanisani. Naombeni dua ili nikichaguliwa niwe Rais asiye na kiburi wala majivuno, bali mwenye moyo wa utumishi.”
Aidha, aliwataka wakazi wa Tabora kuchagua CHAUMMA kama chaguo la mabadiliko na maendeleo ya kweli kwa taifa.

You Might Also Like

TEITI Yashiriki Maonesho ya Nane ya Uwekezaji Sekta ya Madini Geita

Uzinduzi wa Ubia Wiki Ya Ubunifu Tanzania 2025 Wafanyika

TTCL Yafanya Maboresho Makubwa Kwa Watumiaji

Tunatatua Malalamiko Ya Wateja – Kaguo

Usekelege: Kati ya Migogoro Tunayoipokea Ipo ya Wafanyakazi Majumbani

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article VIONGOZI WA DINI WAONYA: ‘TUMIENI BUSARA, LINDENI AMANI WAKATI WA UCHAGUZI’
Next Article CHAUMMA Yalia na Umaskini Katikati ya Utajiri wa Dhahabu
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Kituo Cha Umahiri Cha Upandikizaji Figo, Mafunzo, Kujengwa Hospitali Ya Benjamin Mkapa
Habari October 24, 2025
Mwalim: Mchagueni Mwalimu Wangu Wa Siasa Shibuda
Habari October 24, 2025
TUCTA: Wafanyakazi Jitokezeni  Kwa Wingi Kwenda Kupiga Kura Mchague Viongozi Watakaolinda  Maslahi Yenu  
Habari October 24, 2025
Jeshi La Polisi Kufanya Ukaguzi Wa Hali Ya Juu Kwa Mashabiki Katika Mechi Za Simba Na Yanga
Habari October 24, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?