MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Majaliwa Aipongeza TPHPA kwa Kuhakikisha Usalama wa Chakula Nchini
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Majaliwa Aipongeza TPHPA kwa Kuhakikisha Usalama wa Chakula Nchini
Habari

Majaliwa Aipongeza TPHPA kwa Kuhakikisha Usalama wa Chakula Nchini

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
1 Min Read
Na Mwandishi Wetu
TANGA: WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amepongeza Mamlaka ya Afya ya Mimea na Viuatilifu Tanzania (TPHPA) kwa juhudi zake katika kuhakikisha usalama wa chakula nchini.
Akizungumza leo, Oktoba 16, 2025, alipotembelea banda la mamlaka hiyo kwenye maonesho ya maadhimisho ya Chakula Duniani katika viwanja vya Usagara, Tanga,.
Majaliwa amesema TPHPA imekuwa mfano bora katika kutoa elimu kwa wananchi kuhusu matumizi sahihi ya viuatilifu, uhifadhi salama wa mazao na uimarishaji wa usalama wa chakula kuanzia shambani hadi mezani.
Habari Picha 10026
Akiipongeza mamlaka hiyo, amesema juhudi zake zimechangia kuhakikisha wakulima, wafanyabiashara na walaji wanazingatia viwango vya ubora na usalama wa chakula, jambo linalolinda afya za Watanzania na kukuza uchumi wa taifa kupitia sekta ya kilimo.
Majaliwa amesisitiza kuwa elimu kuhusu usalama wa chakula ni nguzo muhimu katika kufikia malengo ya maendeleo endelevu na kuhakikisha vizazi vijavyo vinapata chakula salama na chenye lishe bora.
Maadhimisho hayo ya kitaifa, yaliyoanza Oktoba 10, 2025, yanafikia kilele chake leo yakiongozwa na kaulimbiu “Tuungane Pamoja Kupata Chakula Bora kwa Maisha Bora ya Baadaye.” Kupitia kaulimbiu hiyo, serikali inahimiza ushirikiano wa wadau wote katika kuhakikisha upatikanaji wa chakula salama, chenye lishe na endelevu kwa maendeleo ya taifa.

You Might Also Like

TALGWU Chafanya Kikao Cha Baraza La Wafanyakazi Dodoma

Fursa za Uwekezaji Kanda ya Ziwa: Buzwagi na Maeneo Mengine ya Kimkakati

Kamati Ya Bunge Yakunwa Na TEA 

NHIF Kuingia Makubaliano Na Mawakala Usajili Wa Wananchi

Fikeni kwa wakati CMA, mtatuliwe migogoro ya kikazi – Massawe

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Mwalim: Lindi, Mtwara Tajiri kwa  Rasilimali, Maskini kwa Uongozi
Next Article Serikali Yapeleka Sh Bil 10 Kwa Kiwanda Cha Viuadudu Cha TBPL
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Mita  Janja Zazinduliwa,  Tanesco  Yatakiwa Kuzisambaza Nchi Nzima
Habari December 5, 2025
DIT Andaeni Taarifa  Itakayowezesha Wanafunzi Kupelekwa Nje Kujifunza-Mkenda
Habari December 5, 2025
Msama Aipongeza Hotuba Ya Samia, Atoa Neno Kwa Vijana, Wazee, Wanaharakati
Habari December 4, 2025
Profesa Silayo Aaga, Jawara Kuchukua Uongozi Mpya wa AFWC25
Habari December 3, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?