MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Zuhura Yunus Atoa Neno Kwa Madereva 
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Zuhura Yunus Atoa Neno Kwa Madereva 
Habari

Zuhura Yunus Atoa Neno Kwa Madereva 

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
1 Min Read

Na Lucy Ngowi

Dar es Salaam;  TAKWIMU zinaonyesha kuwa mwaka 2019 mpaka Mei mwaka huu 2024  ajali za barabarani zilikuwa zaidi ya 10,000 ambapo idadi ya vifo vilikuwa 7639, majeruhi 12,663.
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu- Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Zuhura Yunus amesema hayo katika ufunguzi wa mafunzo ya ustadi wa kuboresha tija ya madereva mkoani Dar es Salaam.
Amesema kati ya ajali hizo asilimia 76 zinasababishwa na makosa ya kibinadamu., pia mawasiliano yasiyoridhisha kati ya madereva na waajiri wao yamesababisha migomo mingi ambayo inaiba muda mwingi wa uzalishaji na kusababisha hasara kwa pande zote mbili.
” Haya yote yanaathiri nguvu kazi ya taifa na yanahitaji kurekebishwa kupitia mafunzo na mbinu nyingine.Hivyo mafunzo haya yamekuja wakati muafaka ili kuweza kuchangia kupunguza changamoto zilizopo ambazo zinaweza kuepukika,” amesema.
Zuhura amesema madereva ni watu muhimu jamii inawategemea kurahisisha uzalishaji na utoaji wa huduma kwa kuwatoa sehemu moja kwenda nyingine katika harakati za kiuchumi.
“Hivyo hamna budi ninyi madereva kuhakikisha jamii inafanya shughuli hizo za kiuchumi wa mtu mmoja mmoja na taifa kwa ujumla,” amesema.

You Might Also Like

Ujenzi Miundombinu ya Kuongeza Udahili kipaumbele Cha Serikali

Rais Samia kufungua kikao kazi cha watendaji serikalini

Mauaji Yanayotokea Ni Aibu-Butiku

Profesa Mutembei apongeza serikali kuruhusu mchepuo lugha ya kichina

Ofisi Zote Dodoma Kutoa Ushirikiano Kwa Watangazaji-RC

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Serikali Yawapeleka Wauguzi 101 Nchini Saudi Arabia
Next Article PSSSF MSHINDI WA KWANZA TUZO ZA UANDAAJI BORA MAHESABU ZA NBAA, 2023
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

ARTICLE 19,  JOWUTA KUSHIRIKIANA KUIMARISHA HAKI ZA WANAHABARI
Habari October 18, 2025
Profesa Ndunguru Aongoza Kikao Cha Mawaziri Wa DLCO- EA Akimwakilisha Bashe
Habari October 17, 2025
Mgombea NCCR-Mageuzi Awaasa Watanzania Wasikubali Propaganda
Habari October 17, 2025
Profesa Nombo: Ushirikiano wa VETA, Sekta Binafsi Waimarisha Mafunzo ya Ufundi Stadi
Habari October 17, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?