MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Watanzania Watakiwa Kufanya Kazi Kwa Bidii
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Watanzania Watakiwa Kufanya Kazi Kwa Bidii
Habari

Watanzania Watakiwa Kufanya Kazi Kwa Bidii

Author
By Author
Share
2 Min Read
Na Danson Kaijage.
WATANZANIA wameaswa kufanya kazi kwa bidii ili kuondokana na  umaskini.
Hayo yameelezwa na Mkurugenzi wa 2=1 Ministries Australia Andronicus Kyuvu, kutoka Nchini Kenya alipokuwa akitoa semina ya kumkomboa mtanzania katika dimbwi la umasikini kwa lengo la kufungua ufahamu wa kufanya kazi.
Katika semina hiyo iliyofanyika Jijini Dodoma kwa lengo la kuwajengea uwezo wchungaji,wanandoa na wajane Kyuvu amesema watu wengi wanaishi maisha ya kumtegemea Mungu lakini hawafanyi kazi jambo ambalo linawasababishia umasikini.
Amesema haiwezeka mtanzania akaendelea kulalamikia hali mbaya ya kiuchumi wakati nchi ya Tanzania imejaa utajiri wa kila aina na njia pekee ni kufanya kazi kwa bidii.
Kutoana na hali hiyo amesema 2=1 Ministries Australia limekuja Tanzania kwa malengo ya kuwajengea uwezo wanandoa,wajane na baadhi ya viongozi wa dini jinsi ya kuandaa miradi ambayo itawatoa katika dimbwi la umasikini.
Kuhusu wanandoa, Kyuvu amesema  ndoa nyingi zinavunjika kutokana na maisha duni jambo ambbalo linasababishwa na umasikini wakati kuna uwezekano mkubwa wa kufanya shughuli ndogo ndogo au kuandika miradi mikubwa kupitia vikundi na kuanzisha miradi ambayo inaweza kuwanufaisha.
Kwa upande wake mratibu wa Huduma hiyo nchini Tanzania, Dkt. Benson Rutta amesema huduma hiyo inalenga kuwainua watanzania wa kipato duni na kuzifanya ndoa kuimarika kiuchumi.
Amesema kwamba mpaka sasa mikoa mitano imefikiwa na huduma hiyo ukiwepo Mkoa wa Dodoma, Arusha, Mwanza, Dar es Salaam na Geita huku akieleza kuwa Mwanza na Geita tayari wameisha anza kuwezeshwa kimitaji.
Amesema huduma hiyo inalenga kutoa elimu ya kufanya biashara kwa mtu mmoja mmoja na kufanya biashara kubwa ya kufungua viwanda vikubwa,kujenga hospitali,kujenga shule na huduma nyingini kwa sehemu ya taasisi.
Amesema watanzania wanatakiwa kujikwamua kimaisha kwa kufanya kazi kwani kwa sasa suala la kusubiri misaada kutoka kwa wazungu inaelekea kukoma badala yake kila mtu anatakiwa kufanya kazi kwa bidii.

You Might Also Like

Wazazi washauriwa kusomesha watoto useremala

Kamati Ya Bunge  Yaridhishwa Na Ujenzi Wa Jengo La Kituo Cha Zimamoto, Mtumba

Maboresho Mfumo wa Sheria Zinazosimamia Uwekezaji Kuchochea Uwekezaji Nchini

Chukueni Mkopo, Kwenye Taasisi Zilizopewa Leseni Na BOT

Tigo yawafikia wakulima, wafugaji. Wavuvi nanenane Dodoma

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Tido Mhando: Marufuku Kuwasilisha Vyeti, Nyaraka Za Kughushi Maombi ya Ithibati, Press Card
Next Article Hivi Ndivyo Vipaumbele Vya Maliasili
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

JAB Yaanza Rasmi Kutoa Vitambulisho Kwa Waandishi Wa Habari
Habari May 19, 2025
Hivi Ndivyo Vipaumbele Vya Maliasili
Habari May 19, 2025
Tido Mhando: Marufuku Kuwasilisha Vyeti, Nyaraka Za Kughushi Maombi ya Ithibati, Press Card
Habari May 19, 2025
Shen Zhiying: Mkongwe Aliyeanzisha Kozi Ya Kiswahili Nchini China
Makala May 19, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?