MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Wananchi Uyui Wafurika Kumsubiri Mgombea Urais CCM
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Wananchi Uyui Wafurika Kumsubiri Mgombea Urais CCM
Habari

Wananchi Uyui Wafurika Kumsubiri Mgombea Urais CCM

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
1 Min Read
WANANCHI  wa Wilaya ya Uyui  mkoani Tabora wamefurika uwanjani wakisubiri kwa hamasa kuwasili kwa Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM),  Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo Septemba 11,2025.
Habari Picha 9343
Dkt. Samia anaendelea na ziara za kampeni za uchaguzi mkuu mkoani Tabora akitokea Singida, ambapo leo anatarajia kufanya mikutano katika wilaya za Uyui, Urambo na Kaliua na kunadi sera na ahadi za Ilani ya CCM ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 kwa wananchi wa mkoa huo.
Imeandaliwa na Mwandishi wetu
Habari Picha 9344
Habari Picha 9345

You Might Also Like

OUT yaunda Kamati ya Ufuatiliaji na Tathmini Mradi wa HEET

Wanazuoni Kujadili   Dira  Itakayojenga  Uchumi Unaofikia   Dola Trilioni Moja

Imarisheni Mkakati Wa Kusimamia Usafi Wa Mazingira-Mhagama

Umwagiliaji kumwezesha mkulima kulima mara mbili mpaka tatu kwa mwaka

Tunatekeleza Azma YA Rais Samia Kuwafikia Wananchi Waliojiajiri

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Salum Mwalim: Hakuna Mtu, Taasisi Inayoweza Kuzuia Uchaguzi
Next Article Manara: Sitapambana na Wafanyabiashara, Nitawatetea
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Twendeni Tukapige Kura Ya Ukombozi, CHAUMMA Yahitimisha Kampeni
Habari October 28, 2025
Elimu Ya Nishati Safi Ya Kupikia Yawafikia Maofisa Dawati Ngazi Ya Mikoa Na Halmashauri
Habari October 27, 2025
Wananchi wahamasishwa kuandika historia mpya kupitia kura
Habari October 25, 2025
Shibuda: WanaMaswa jitokezeni kupiga kura bila woga
Habari October 25, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?