MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: VETA yafadhili mafunzo kwa wanawake 3000 jijini Dodoma
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > VETA yafadhili mafunzo kwa wanawake 3000 jijini Dodoma
Habari

VETA yafadhili mafunzo kwa wanawake 3000 jijini Dodoma

Author
By Author
Share
2 Min Read
Na Mwandishi Wetu
MAMLAKA ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) imetoa ufadhili wa mafunzo ya muda mfupi kwa wanawake 3000 jijiji Dodoma.
Mafunzo hayo  yatatolewa katika Chuo cha VETA Dodoma.
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule amezungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa mafunzo hayo yanayotolewa kupitia kikundi cha Wanawake na Samia Mkoa wa Dodoma.
Pia Senyamule amemshukuru Mkurugenzi Mkuu wa VETA, Anthony Kasore kwa ufadhili wa mafunzo hayo.
Akizungumza katika hafla hiyo, Senyamule amesema wanawake wengi, hawana ujuzi, hivyo mafunzo ya stadi kwao ni muhimu ili kuwawezesha kujiajiri au kuajiriwa.
“Dodoma sasa ni mji wa kitalii na watu wengi wanakuja kwa ajili ya kupata huduma za Kiserikali.
“Wapo wengine kutoka mataifa mbalimbali. Hivyo tunahitajika kutoa huduma za kiwango cha kimataifa na hilo linawezekana ikiwa tutapata mafunzo,” amesema.
Kwa upande wake Mwenyekiti wa wanawake na Samia Mkoa wa Dodoma, Fatuma Madidi ametoa pongezi kwa Mkurugenzi Mkuu wa VETA na Mkuu wa chuo cha VETA  Dodoma kwa kuridhia  mafunzo hayo kutolewa kwa wanwake wa Dodoma kupitia chuo  cha VETA Dodoma.
“Ukimsomesha mwanamke umesomesha jamii nzima, tunaahidi kuwa watulivi na kujifunza kwa bidii,” Madidi amesema.
Mkurugenzi Mkuu wa VETA,  Anthony Kasore amesema VETA itagharamia mafunzo hayo kwa wanawake na Samia na kuongeza kuwa anaamini ujuzi watakaoupata utawasaidia kuendesha shughuli zao za uzalishaji na kujingiizia kipato.

You Might Also Like

Nzega Kujenga Barabara za Lami, Soko la Kisasa ili Kukuza Uchumi

DC Twange Apongeza Wananchi Kuchangia Maendeleo 

Italia Kuangazia Fursa Za Uwekezaji Ambazo Hazijatambuliwa

Wafanyakazi waitwa kupeleka changamoto za kikazi CMA

Hatuwezi Kukwepa Matumizi Ya Bioteknolojia – Dkt.Nguvila

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Wakulima Wa Mahindi Mvomero Walia Na Viwavijeshi Vamizi, Watafiti SUA kupitia Mradi Wa AGRISPARK Kuokoa Jahazi
Next Article Mtoto Wa Miaka Sita Ashinda Ashindano Ya Kuhifadhi Quraan Mkoa Arusha
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Tulia Atoa Taarifa Kifo Cha Ndugai
Habari August 6, 2025
Tume ya Kurekebisha Sheria Yaelimisha Umma Kuhusu Haki za Wanyama
Habari August 6, 2025
Bundi Wasaidia Kupambana na Panya: Teknolojia Asilia Inayobadili Maisha ya Wakulima
Habari August 6, 2025
Ofisa wa TARI Kuwapo Kila Kituo cha Umwagiliaji – Naibu Katibu Mkuu
Habari August 6, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?