MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: VETA Shinyanga Yatumia Kompyuta Kubuni Bidhaa 
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > VETA Shinyanga Yatumia Kompyuta Kubuni Bidhaa 
Habari

VETA Shinyanga Yatumia Kompyuta Kubuni Bidhaa 

Author
By Author
Share
1 Min Read

Na Lucy Ngowi

DAR ES SALAAM: “TEKNOLOJIA iko juu sasa hivi, yale mambo ya kuchukua tindo na kuanza kugonga tunaachana nayo. Sasa hivi tunatumia kompyuta kubuni bidhaa unayohitaji,”.
Mwalimu wa Chuo cha Ufundi Stadi  (VETA) mkoani Shinyanga, Omar Mabula amesema hayo alipozungumza na Mwandishi wa Habari hii katika Maonesho ya Sabasaba yanayoendelea mkoani Dar es Salaam.
Akiwa katika banda la VETA akionesha bidhaa zilizobuniwa kwa kutumia teknolojia, amesema baada ya kubuni kile unachokitaka unaweka kwenye mashinena  kutoa bidhaa ile ile iliyobuniwa kwa kutumia kompyuta.
Amesema yeye ni mwalimu wa mashine inayotumia kompyuta katika kufanya kazi yake.
“Ninafanya kazi mbalimbali na bidhaa tofauti kwa sababu malighafi inayotumika ni tofauti tofauti,” amesema.
Amewakaribisha wanafunzi kusoma kozi hiyo inayofundishwa kwa miezi mitatu.

You Might Also Like

JOWUTA Yawasilisha Ripoti ya Ukaguzi kwa Msajili

Majaliwa Asema Sekta ya Uvuvi Yaingiza trilioni 2.9 kwa Mwaka 

Polisi Kuimarisha Ulinzi Nyumba Za Ibada Krismasi, Mwaka Mpya

Dkt. Mashimba Achukua Fomu Ya Kuwania Nafasi Ya Ubunge

Usajili Kwa Njia Ya Mtandao, Umeharakisha Ufunguaji Mashauri

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Wafanyakazi Wa Majumbani  700 Wapatiwa Mafunzo VETA
Next Article VETA Mtwara Yawafundisha Wanafunzi Uongezaji Thamani Kwenye Korosho, Mwani
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Majaliwa Apongeza Jeshi La Magereza Kurasimisha Ujuzi Kwa Wafungwa
Habari August 27, 2025
Mapokezi Ya Katibu Mkuu CCM  Dkt Migiro CCM, Aahidi Ushirikiano
Habari August 27, 2025
Majaliwa Aagiza Kuimarishwa kwa Mafunzo ya Ufundi Stadi Nchini
Habari August 27, 2025
VETA Yaanzisha Kozi Mpya ya Teknolojia ya Mifumo ya Viwandani
Habari August 26, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?