MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Tume  Ya Ulinzi  Wa Taarifa Binafsi Yaongeza Muda Wa Taasisi Kujisajili
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Tume  Ya Ulinzi  Wa Taarifa Binafsi Yaongeza Muda Wa Taasisi Kujisajili
Habari

Tume  Ya Ulinzi  Wa Taarifa Binafsi Yaongeza Muda Wa Taasisi Kujisajili

Author
By Author
Share
3 Min Read

Na Lucy Lyatuu

TUME  ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC) imetoa nyongeza ya  ya muda wa  miezi mitatu kuanzia  Januari 8,2026 hadi April 8,2026  kwa  taasisi zote za umma na binafsi zinazokusanya na kuchakata taarifa binafsi ambazo bado hazijakamilisha usajili ziwe zimejisajili.

Mkurugenzi Mkuu wa Tumehiyo, Dkt Emmanuel Mkilia amesema hay oleo Dar es Salaam wakati Tume hiyo ikitoa taarifa  ya utekelezaji wa maagizo ya serikali kuhusu uzingatiaji wa sheria ya ulinzi wa taarifa binafsi sura ya 44.

Amesema katika kipindi hicho  taasisi za umma na binafsi zinatakiwa kuhakikisha zinakamilisha usajili kwa hiari ndani ya kipindi hicho.

Habari Picha 10893

Amesema Tume inasisitiza kuwa katika  kipindi hicho cha nyongeza  hakimaanishi kusitishwa kwa utekelezaji wa Sheria, bali ni dirisha la mwisho la muda wa hiari kabla ya hatua kali kuchukuliwa kwa taasisi ambazo zitakuwa hazijakamilisha usajili kwa mujibu wa Sheria.

“PDPC inapenda kuujulisha umma kuwa, baada ya dirisha la mwisho la muda wa hiari kuisha itaanza mara moja ukaguzi wa uzingatiaji wa Sheria kwa taasisi za umma na binafsizinazokusanya  na kuchakata taarifa binafsi,” amesema.

Habari Picha 10894

Amesema ukaguzi huo utahusisha kubaini taasisi za umma na binafsi zinazokukusanya, kuhifadhi,kuchakata, na kusafirisha taarifa binafsi nje ya nchi bila kuzingatia matakwa ya Sheria va Ulinzi wa Taarifa Binafsi, Sura ya 44 na Kanuni zake.

“PDPC inatoa taarifa kwamba hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi ya mtu yeyote, taasisi au kampuni itakayobainika kukiuka Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi, Sura ya 44 katika utekelezaji wa shughuli zake,” amesema na kuongeza kuwa hadi sasa ni  taasisi 10,000 ndizo zilizojisajili.

Amesema kwa mujibu wa Sheria iliyotajwa, hatua hizo ni pamoja na kutozwa faini, kifungo, au vyote kwa pamoja, pamoja na kulipa fidia kwa wote watakaoathirika kutokana na ukiukwaji wa matakwa ya Sheria.

Vilevile,amesema  mtu au taasisi yoyote itakayobainika kuvunja faragha au kutumia taarifa binafsi  bila kujali hadhi au ukubwa wake.

“PDPC inatoa wito kwa taasisi zote za umma na ridhaa ya mhusika wa taarifa hizo, au kinyume na utaratibu uliowekwa kisheria, atawajibishwa binafsi kuchukua hatua za haraka kujisajili, kuimarisha mifumo yao ya ulinzi wa taarifa binafsi, na kuhakikisha uzingatiaji kamili wa Sheria ikiwa ni wajibu wao kwa Serikali wa kulinda haki za kikatiba za wananchi, hususan haki ya faragha katika uchumi wa kidijitali,” amesema.

Habari Picha 10895

Katika hatua nyingine Tume imesema katika kuimarisha uelewa wa umma na wadau kuhusu haki na wajibu unaotokana

Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi, Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC) itaungana na mataifa mengine duniani kuadhimisha Wiki ya Faragha na Ulinzi wa Taarifa Binafsi.

Amesema  maadhimisho hayo hufanyika kimataifa kwa lengo la kukuza uelewa na mshikamano wa dunia katika kulinda haki ya faragha.

Habari Picha 10896

Dkt Mkilia amesema  kwa mwaka 2026, maadhimisho hayo yatafanyika kuanzia  Januari 26, 2026 hadi Januari 30,2026  huku kilele chake kikiwa ni Januari 28 , 2026.

 

You Might Also Like

Rais Samia awasili Zimbabwe

Kuelekea Uchaguzi Mkuu, Waandishi Watakiwa Kuandika Kwa Usahihi

Ndejembi Akabidhiwa Ofisi Na Dkt. Biteko Aliyekuwa Naibu Waziri Mkuu Na Waziri Wa Nishati

Watumishi REA Watakiwa Kufanya Kazi Kuendana Na Kasi Ya Serikali

Aloe Dorotheae, Mmea Unaopatikana Tanzania Pekee

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Wizara  Ya Maliasili Na Utalii Ilivyotamba Na Historia Ya Faru John Na Faru Fausta Mbele Ya Kamati Ya Bunge
Next Article Tril.1.5/- Za Umeme Vitongojini: Ndejembi Awasihi Ma-RC Na DC Kusimamia Kwa Ufanisi Mradi
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Mbunge Asisitiza Sheria za Majiko Safi Ili Kulinda Mazingira
Habari February 3, 2026
Mwalunenge: Bila Rasilimali Watu Na Mtaji, Mipango Ya Kilimo Haitafanikiwa
Habari February 3, 2026
Gulamali Ahoji Bungeni Changamoto ya Mawasiliano Ilongelo
Makala February 3, 2026
Serikali Yaendelea Kuimarisha Uhuru wa Mahakama – Nchimbi
Habari February 2, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?