MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: TPHPA Kuipokea Ndege Yake
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > TPHPA Kuipokea Ndege Yake
Habari

TPHPA Kuipokea Ndege Yake

Author
By Author
Share
1 Min Read
Na Lucy Ngowi

MAMLAKA ya Afya ya Mimea na Viuatilifu (TPHPA), inaipokea ndege yake kutoka nchini Marekani itakayotumika kunyunyizia viuatilifu kwa ajili ya uangamizaji wa ndege waharibifu wa nafaka aina ya mpunga, mtama na uwele.

Mkurugenzi Mkuu wa TPHPA, Profesa Joseph Ndunguru amesema hayo alipozungumza na Mfanyakazi Tanzania kuhusu ujio wa ndege hiyo hapa Tanzania.
Amesema, “Ndege hawa wamekuwa ni wasumbufu sana. Mara nyingi wanavamia skimu  za mpunga huko Mbeya Mbarali na maeneo mengine.
“Kwa muda mrefu tunategemea Ndege ya Nzige Wekundu kutoka Nairobi nchini Kenya. Mara nyingine inachelewa na matukio haya yanatokea kwa muda mfupi unakuta skimu 10 zinavamiwa,”.
Amesema ndege inayokuja imenunuliwa kwa Sh. Bilioni sita zilizotolewa na serikali ya awamu ya sita, inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan.
Amesema ndege itakapoanza kazi italeta tija kubwa kwa kuwa uzalishaji utaongezeka, pamoja na masoko.

You Might Also Like

Rais Samia kufungua mkutano wa Mawaziri wa Uvuvi

Mauaji Yanayotokea Ni Aibu-Butiku

Chalamila afanya ukaguzi mwenendo wa utoaji huduma Kivuko cha Feri

Waziri Mkuu Majaliwa Kuongoza Harambee Ya Mei Mosi Kitaifa

Jeshi La Uhifadhi Wasisitizwa Kuzingatia Misingi ya Haki za Binadamu

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Wanaosimamia Mitandao Ya Serikali Wadhibiti Usalama Wake
Next Article Aloe Dorotheae, Mmea Unaopatikana Tanzania Pekee
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Hali Ya Ulinzi Na Usalama Wa Mipaka Ni Salama
Habari May 22, 2025
Ulega Ataka Ushirikiano Miradi Ya Kimkakati Ikamilike Kwa Wakati
Habari May 22, 2025
Aloe Dorotheae, Mmea Unaopatikana Tanzania Pekee
Habari May 22, 2025
Wanaosimamia Mitandao Ya Serikali Wadhibiti Usalama Wake
Habari May 22, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?