MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: TARI Yanufaisha Wadau Wa Kilimo, Ugunduzi Wa Mbegu Bora Na Za Kisas
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > TARI Yanufaisha Wadau Wa Kilimo, Ugunduzi Wa Mbegu Bora Na Za Kisas
Habari

TARI Yanufaisha Wadau Wa Kilimo, Ugunduzi Wa Mbegu Bora Na Za Kisas

Author
By Author
Share
2 Min Read
Na Mwandishi Wetu
TAASISI ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI), imenufaisha wadau wa kilimo kutokana na kugundua mbegu bora zilizofanyiwa utafiti katika mazao mbalimbali yakiwemo ya karanga,maharage na mtama.
Wadau hao ni wakulima, wazalishaji mbegu na wasindikaji wa bidhaa za kilimo wamekiri kunufaika na utafiti huo wa mbegu bora na za kisasa uliowaongezea tija katika mnyororo wa thamani wa mazao hayo.
Katika mkutano uliofanyika Dodoma wa kutoa matokeo ya tafiti mbalimbali zilizofanyika zinazobaini uhitaji wa soko na kusambaza mbegu mpya za mtama, maharage na Karanga, wadau hao wa kilimo wameeleza hayo.
Mzalishaji wa mbegu za karanga na mtama kutoka Chamwino Dodoma, Olipa Mahala amesema alipokuwa akilima mbegu za kienyeji alikuwa anavuna gunia nne mpaka tano kwa hekta lakini alipoanza kulima mbegu ya mtama ya TARISOR 1 anavuna wastani wa gunia 15-20 kwa hekta.
Naye Msindikaji wa siagi ya karanga kutoka Bahi mkoani hapa, Kadala Komba amesema utumiaji wa mbegu za Naliendele 2016 umuongezea tija kwa kupendwa sokoni kutokana na ladha pamoja na rangi yake.
Akifungua mkutano huo, Mkurugenzi Mkuu wa TARI- Dkt. Thomas Bwana amesema taasisi hiyo imegundua mbegu mbalimbali, imeendelea kufanya tafiti zaidi  ili kugundua teknolojia zinazojibu  changamoto za wakulima na wadau katika mnyororo mzima wa thamani.
Mkurugenzi wa Idara ya Uhaulishaji wa Teknolojia na Mahusiano wa TARI, Dkt. Sophia Kashenge amesema taasisi hiyo haishii  kugundua bali pia kuhakikisha mbegu hizo zinawafikia wakulima kupitia njia mbalimbali.
Njia hizo ni uanzishaji wa mashamba darasa, kutoa elimu kwa maofisa ugani, wakulima, wazalishaji mbegu na wafanyabiashara wa mbegu na wasindikaji wa bidhaa.
Miongoni mwa mbegu ziligunduliwa na TARI ni aina mpya  za mbegu za Maharage;  TARIBEAN 6, TARIBEAN 7, TARIBEAN 8, TARIBEAN 9, TARIBEAN 10 na TARIBEAN 11.
Karanga aina za; TARIKA 1 na TARIKA 2 pamoja na mtama TARISOR 1 na TARISOR 2.

You Might Also Like

Afrika yatakiwa kutokuwa na Matabaka katika kutekeleza AFCFTA 

Kuhusisha Wanafunzi Matukio Ya Kisayansi, Kunawafanya Waipende 

Dkt  Biteko ashiriki  Kikao Cha Mawaziri  wa Nishati  Uganda

TRAWU Yazindua KAMPENI ya Afya Na Usalama Mahali Pa Kazi

Dkt Biteko Awasili Nchini India Kwa Ziara Ya Kikazi

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Trilioni 1.2 kuboresha miundombinu Mkoa wa Dar es Salaam
Next Article Majukwaa YA Dini Yaimarishe Mapambano Dhidi ya Magonjwa Ya Mlipuko
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Waziri Mkuu Majaliwa Akabidhi Tuzo kwa BoT Geita
Habari September 22, 2025
BoT Yarahisisha Uuzaji wa Dhahabu kwa Wachimbaji, Yatoa Punguzo La Mrabaha
Habari September 22, 2025
Waziri Mkuu Apongeza Huduma Kidijitali za NSSF, Maonesho Ya Madini Geita
Habari September 22, 2025
Mkuu Wa Mkoa Shinyanga Asifu Kazi Ya Bodi Bima Ya Amana
Habari September 22, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?