MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: TAREWU Wapata Uongozi Mpya
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > TAREWU Wapata Uongozi Mpya
Habari

TAREWU Wapata Uongozi Mpya

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
1 Min Read
Na Mwandishi Wetu
DODOMA: CHAMA cha Wafanyakazi wa Kukusanya Kodi (TAREWU) Taifa kimefanya uchaguzi wake mkuu na kuwapata viongozi watakaokiongoza kwa kipindi cha miaka mitano.
Uchaguzi huo umefanyika jijini Dodoma na kushirikisha wanachama kutoka maeneo mbalimbali nchini.
Kabla na baada ya uchaguzi, Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi, Tumaini Kichila, aliwasisitiza wanachama kushirikiana kwa karibu na viongozi watakaochaguliwa ili kukijenga chama na kukifanya kiwe imara.
Alisisitiza umuhimu wa uongozi kufanya kazi kwa ueledi na kutumia busara pamoja na ushawishi wanapowasilisha hoja za wanachama kwa waajiri, ili kuepusha migongano isiyo ya lazima.
Uchaguzi ulianza saa saba mchana na kuhitimishwa majira ya saa tano na nusu usiku kwa kutangazwa kwa matokeo.
Akitangaza matokeo hayo, Kichila alimtangaza Lutufyo Mtafya kuwa Mwenyekiti wa Taifa, Fatuma Ramadhan Mshui kuwa Makamu Mwenyekiti, Michael  Marere kuwa Katibu Mkuu na Joel Lema kuwa Mweka Hazina.
Aidha, Jennifer Mathias alitangazwa kuwa Mwenyekiti wa Wanawake Taifa, huku Dorothy Raphael Msofu akitangazwa kuwa Katibu wa Wanawake Taifa.
Baada ya kutangazwa mshindi, Mwenyekiti wa Taifa, Mtafya aliahidi kuongoza kwa kuzingatia katiba ya chama.
Aliwashukuru wanachama kwa kumuamini na kuahidi kushirikiana na wagombea wenzake kwa kutumia mawazo yao ili kuendelea kukijenga na kukiimarisha chama.

You Might Also Like

TSB, Wizara ya kilimo yaweka mpango wa vituo vya usindikaji mkonge

Rais Samia Aipa Neema Miradi Ya Kuzalisha Umeme Iringa

Dodoma Yazizima Wakati Samia, Nchimbi  Wakichukua Fomu Ya Urais

Serikali Yawapeleka Wauguzi 101 Nchini Saudi Arabia

Wakazi Wa Ntyuka Wataka Kiongozi Mchapakazi

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Jumuiya ya Wazazi CCM: Uchaguzi Ulikuwa Mgumu
Next Article Mwenyekiti Wa Kijiji Aahidi Kufuatilia Mgogoro wa Shamba Bahi
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Mbunge Asisitiza Sheria za Majiko Safi Ili Kulinda Mazingira
Habari February 3, 2026
Mwalunenge: Bila Rasilimali Watu Na Mtaji, Mipango Ya Kilimo Haitafanikiwa
Habari February 3, 2026
Gulamali Ahoji Bungeni Changamoto ya Mawasiliano Ilongelo
Makala February 3, 2026
Serikali Yaendelea Kuimarisha Uhuru wa Mahakama – Nchimbi
Habari February 2, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?