MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Tanzania, Japan Kushirikiana Ukuzaji Ujuzi Kwa Vijana
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Tanzania, Japan Kushirikiana Ukuzaji Ujuzi Kwa Vijana
Habari

Tanzania, Japan Kushirikiana Ukuzaji Ujuzi Kwa Vijana

Author
By Author
Share
1 Min Read
Na Mwandishi Wetu
DODMA: WAZIRIi wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Ridhiwani Kikwete amekutana na kufanya mazungumzo na Naibu Waziri wa Ardhi, Miundombinu na Utalii wa Japan Kenichi Ogasawara.
Maxungumzo hayo yamehusu kuimarisha ushirikiano katika masuala ya ukuzaji ujuzi na teknolojia kwa vijana.
Ridhiwani amesema hayo leo Machi 21, 2025 Jijini Dodoma alipokutana na ujumbe huo kutoka nchini Japan.
Pia amesema kupitia programu ya ukuzaji ujuzi inayotarajiwa kuanzishwa baina ya nchi hizo mbili italeta tija kwa vijana kuweza kujiajiri au kuajiriwa kupitia ujuzi watakaoupata kutoka nchini Japan.
Katika hatua nyingine Ridhiwani amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kufungua mipaka nje ya nchi ili kutoa fursa kwa watanzania kupata kazi nje ya nchi.
Naye Naibu Waziri wa Ardhi, Miundombinu na Utalii wa Japan, Ogasawara amesemaTanzania ni moja ya Nchi ya kipaumbele katika program hiyo ya mashirikiano ya ukuzaji ujuzi na teknolojia kwa vijana wa Kitanzania.

You Might Also Like

TEA Yaanza Utekelezaji Miradi Ya Amali Zanzibar

Polisi Kata Kupewa Pikipiki Nchi Nzima Kuimarisha Ulinzi

Ridhiwani  Azindua Hafla ya Kuupandisha Mwenge, Mlima Kilimanjaro

Ridhiwan Atembelewa Na Watendaji NMB

Ridhiwani: Maandalizi Mei Mosi  Yafikia Asilimia 88

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Nzega Kujenga Barabara za Lami, Soko la Kisasa ili Kukuza Uchumi
Next Article TRC Yawatoa Hofu Wasafirishaji Mizigo Kwa Malori
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Mbegu Bora za Miwa Zenye Tija ya Tani 200 kwa Hekta Zaendelea Kuwanufaisha Wakulima
Habari August 7, 2025
Mbegu Bora za Mpunga Zazalishwa TARI Dakawa, Ifakara
Habari August 7, 2025
Mtego wa Inzi Wa Matunda Suluhisho Salama kwa Wakulima
Habari August 7, 2025
Mafua, Kifua Yadaiwa Kusababisha Kifo cha Job Ndugai
Habari August 7, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?