MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Simbachawene: Nitaheshimu Mfumo Wa Uongozi Na Kushirikiana
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Simbachawene: Nitaheshimu Mfumo Wa Uongozi Na Kushirikiana
Habari

Simbachawene: Nitaheshimu Mfumo Wa Uongozi Na Kushirikiana

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
1 Min Read
Na Mwandishi Wetu
DODOMA: WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, amesema anaamini katika uongozi wa kimfumo unaoheshimu mipangilio ya kiutawala, badala ya kutegemea sifa za mtu mmoja.
Aidha amesema mambo mazuri yanayofanywa katika Wizara yanapaswa kuwa ya pamoja ili kuongeza ufanisi na tija.
Habari Picha 10358
Simbachawene ameyasema hayo wakati akikabidhiwa ofisi na aliyekuwa Waziri wa Wizara hiyo, Innocent Bashungwa, katika hafla iliyofanyika Mtumba jijini Dodoma.
Amesisitiza kuwa ni wajibu wa viongozi na watumishi wa Wizara kushirikiana, kukumbushana na kusaidiana ili kuhakikisha majukumu yote yanatekelezwa kwa ufanisi
Pia ameahidi kuendeleza misingi na miradi mizuri iliyoanzishwa na mtangulizi wake, Bashungwa, ikiwemo kuendeleza rasilimali zilizokuwa zimeanza kutumika kwa ajili ya kuisukuma Wizara hiyo kwenda mbele.
Habari Picha 10357
Kwa upande wake, Bashungwa ameahidi kuendelea kutoa ushirikiano kwa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi wakati wowote atakapohitajika.

You Might Also Like

Rais Samia Ni Mama Wa Maendeleo – Majaliwa

Tanzania Mwenyeji Mkutano wa Mafuta na Gesi, 2025

TPDC na PURA Hakikisheni Watanzania Wananufaika na Rasilimali za Mafuta na Gesi- Salome

TPHPA, MUCE Wasaini Hati Ya Makubaliano Maeneo Yanayogusa Sayansi

Waislamu Watakiwa Kusimamia Misingi Ya Upendo, Ushirikiano, Amani

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Makamu Mkuu OUT: Elimu ya Masafa Yahitaji Nidhamu ya Hali ya Juu
Next Article Rais Samia Awateua Tido Mhando, Machumu Na Nyalandu
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

CAG Aipongeza TARURA Kwa Ujenzi Wa Miundombinu
Habari January 9, 2026
Tuna Deni La Kusimamia Miradi Na Kusikiliza Kero za wananchi Ili Kuleta Maendeleo Ya Kweli-Salome
Habari January 9, 2026
Rais Dkt Samia Azindua Majengo Ya Kisasa
Habari January 8, 2026
TEA, UNICEF Watekeleza Miradi ya Elimu Visawani Zanzibar
Habari January 8, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?