MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Serikali Yahamasisha  Kuongeza Fursa Za Mafunzo Kwa Vijana
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Serikali Yahamasisha  Kuongeza Fursa Za Mafunzo Kwa Vijana
Habari

Serikali Yahamasisha  Kuongeza Fursa Za Mafunzo Kwa Vijana

Author
By Author
Share
2 Min Read

 

Na Lucy Lyatuu,Dodoma
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Ajira na Mahusiano ya Kazi), imesema miongoni mwa sababu zinazotajwa kuchangia ukosefu wa ajira kwa vijana ni kutokuwa na ujuzi sahihi unaowawezesha kujiajiri au kuajiriwa katika sekta mbalimbali za kiuchumi.
Aidha imesema itaendelea kuratibu na kuboresha sera, sheria na miongozo ya programu ya mafunzo ya uanagenzi, pamoja na kuhamasisha sekta binafsi kushiriki kikamilifu katika kutoa nafasi za mafunzo kwa vitendo kwa vijana.
Waziri wa Wizara hiyo Deus Sangu amesema hayo na kuwataka wanagenzi kuonesha nidhamu, bidii, ubunifu, uaminifu na uadilifu wawapo vyuoni na katika maeneo ya mafunzo kwa vitendo.
Amesema hayo katika hafla ya uzinduzi wa mafunzo ya Uanagenzi awamu ya nane ya stadi za kazi kwa njia ya uanagenzi kwa  mwaka 2025/2026 kwa vijana 5,746 yanayoendelea katika vyuo 46 nchini alisema serikali itasimamia viwango vya ubora wa mafunzo hayo na kuweka mazingira rafiki ya ajira na uwezeshaji ili kuongeza fursa za ajira kwa vijana kupitia shughuli za serikali katika halmashauri na taasisi mbalimbali.
Ameongeza kuwa maendeleo ya nguvu kazi ya vijana ni sehemu ya Ilani ya Uchaguzi ya mwaka 2025–2030 ya Chama Cha Mapinduzi pamoja na utekelezaji wa Mpango wa Tatu wa Maendeleo wa Taifa wa miaka mitano.
Aliwapongeza Chuo cha Ufundi cha Don Bosco kwa utekelezaji mzuri wa programu hiyo. Kwa muda mfupi vijana  wamepata mafunzo yenye tija.
” Serikali ipo pamoja nanyi katika kuhakikisha mafanikio ya mpango huu. Natambua kuwa wanagenzi 480 wamepata udahili wa asilimia 100 kutoka serikalini,” amesema.
Kwa upande wake, Naibu Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Zuhura Yunus, amesema lengo la uzinduzi huo ni kuitangaza programu ya kukuza ujuzi na kuhamasisha vijana wengi zaidi kushiriki bila kukosa fursa hizo.
Amesema pia hatua hiyo inalenga kuimarisha ushirikiano kati ya serikali, sekta binafsi na wadau wa maendeleo, pamoja na kusisitiza umuhimu wa ujuzi katika kukuza ajira na uchumi wa taifa.

You Might Also Like

Mashine Kusaidia Uuzaji Vinywaji Bila Muuzaji

Mauaji Yanayotokea Ni Aibu-Butiku

Wamiliki Migodi Wapewa Siku 30 Kufanya Usajili

July 10, 2025

Polisi Yatoa Onyo Kali Kwa Waganga wa Tiba Mbadala

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article MOI Yatoa Huduma Mpya Bobezi Tisa Kwa Mwaka 2025 
Next Article SADC Yabaini Changamoto Kuu katika Utekelezaji wa Mpango wa Maendeleo ya Kikanda
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

TASFAM Yawawezesha Wanawake wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi Kuadhimisha Siku ya Mwanamke
Habari March 9, 2026
Nyamhokya Atoa Wito kwa Wanawake Kusimama Imara Kiuchumi
Habari March 7, 2026
Balozi Seokolo Atoa Wito Kuimarisha Biashara na Viwanda Kanda ya SADC
Habari March 7, 2026
Mkunda: Wanawake Wapewe Nafasi Katika Uongozi wa Vyama vya Wafanyakazi
Habari March 7, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?