MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Serikali Kupeleka Umeme Maeneo Ya Kimkakati
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Serikali Kupeleka Umeme Maeneo Ya Kimkakati
Habari

Serikali Kupeleka Umeme Maeneo Ya Kimkakati

Author
By Author
Share
2 Min Read
Na Danson Kaijage
DODOMA: NAIBU Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema Serikali inaendelea kutekeleza mradi wa kupeleka umeme kwenye  maeneo ya kimkakati nchini ikiwemo maeneo ya migodi midogo,  maeneo ya uvuvi, Viwanda na  yanayochagiza shughuli za kiuchumi.
Kapinga ameyasema hayo bungeni jijini Dodoma wakati akijibu swali  la Mbunge wa Mwibara,  Charles Kaijage(CCM) aliyetaka kufahamu mkakati wa Serikali wa kupelekea umeme maeneo ya uvuvi ili kukuza uchumi wa wananchi wa maeneo hayo.
“Mheshimiwa Naibu Spika Mradi huu wa kupeleka umeme maeneo ya kimkakati umefikia zaidi ya maeneo 300 ikiwemo vituo vya afya na visima vya maji kwa maeneo ambayo yanatoa huduma za kijamii.”  Amesema  Kapinga
Naye mbunge wa  Igunga, Nicholas Ngassa(CCM) katika swali la nyongeza alitaka kujua  ni  lini Serikali itaanza usambazaji umeme kwenye Vitongoji vya Jimbo la Igunga.
Akijibu maswali hayo Kapinga amesema  Jimbo la Igunga lina jumla ya Vitongoji 337 ambapo kati ya hivyo, Vitongoji 95 vimepatiwa umeme.
Ameongeza kuwa, katika Vitongoji 15 Wakandarasi wanaendelea na utekelezaji wa miradi kupitia Mradi wa Kupeleka Umeme Vitongojini Awamu ya Pili A (HEP IIA) na Vitongoji 69 zabuni imetangazwa kupitia Mradi wa Kupeleka Umeme Vitongojini Awamu ya Pili B (HEP IIB).
Amesema kuwa, Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) itaendelea kutenga fedha za kuvipelekea umeme vitongoji 158 vilivyosalia.
Amesisitiza kuwa, gharama ya kuunganisha umeme kwa maeneo ya Vijijini ni shilingi 27,000/- na kuongeza kuwa, kuna mradi utakaoanza hivi karibuni unaohusisha Vitongoji ambavyo havina laini kubwa ya umeme na vilivyo na kwenye laini kubwa ya umeme.
 H

You Might Also Like

BOT Yafungia Applications 69 Za Mikopo Mtandaoni

TDB Yaheshimisha Tasnia Ya Maziwa

Watafiti, Wabunifu Waendelezwe Wasivunjwe Moyo- Biteko

Tanzania Yatumia Wiki Ya Nishari India Kunadi Vitalu Vya Mafuta Na Gesi Asilia

Ridhiwani Ashiriki Mazishi Ya Mwenyekiti SHIVYAWATA

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Jaffo Aagiza Kufufuliwa Vilivyokuwa Viwanda Vya Serikali
Next Article Wizara Ya Madini Kununua Chopa, Kufanya Utafiti
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Mchumi Ajitosa Kuwania Ubunge Manyoni
Habari July 1, 2025
Msomi Wa Afya, Fatuma Atia Nia Jimbo la Dodoma Mjini
Habari July 1, 2025
Dkt. Mashimba Achukua Fomu Ya Kuwania Nafasi Ya Ubunge
Habari July 1, 2025
TPHPA, MUCE Wasaini Hati Ya Makubaliano Maeneo Yanayogusa Sayansi
Habari July 1, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?