MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Serikali Kuja Na Mwongozo Wa Kuimarisha Ushirikishwaji Jamii Katika Masuala Ya Afya
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Serikali Kuja Na Mwongozo Wa Kuimarisha Ushirikishwaji Jamii Katika Masuala Ya Afya
Habari

Serikali Kuja Na Mwongozo Wa Kuimarisha Ushirikishwaji Jamii Katika Masuala Ya Afya

Author
By Author
Share
2 Min Read

Na Mwandishi Wetu

WIZARA  ya Afya kwa kushirikiana na  Ofisi ya Rais- TAMISEMI  pamoja na wadau mbalimbali iko mbioni kukamilisha Mwongozo wa Kitaifa wa Uhamasishaji Jamii.

Akizungumza katika kikao kazi cha kupitia Mwongozo huo Dar es Salaam, Mkurugenzi Msaidizi wa Elimu ya Afya kwa Umma kutoka Wizara ya Afya  Dkt. Ona Machangu amesema lengo la kikao hicho ni kuhakikisha kunakuwa na mwongozo wa kitaifa utakaorahisisha ushirikishwaji wa Makundi mbalimbali katika  jamii  ili kuimarisha uwajibikaji,  uwazi na ushiriki wa jamii katika kukinga,  kulinda na kuboresha afya zao.

Habari Picha 10137

 

“Kupitia Mwongozo huu  tunaendelea kujenga jamii yenye afya bora, inayoshiriki kikamilifu katika maendeleo ya endelevu katika huduma za afya, lishe na ustawi wa jamii ili kufikia Dira ya Taifa 2050,” amesema Dkt. Machangu.

Aidha, Dkt. Machangu amesema Wahudumu wa Afya Ngazi ya Jamii wamekuwa na mchango mkubwa katika utekelezaji wa mipango  mbalimbali ya Afya ikiwemo Mpango wa Taifa wa Wahudumu wa Afya Ngazi ya Jamii, Malaria, Mpango wa  Kudhibiti UKIMWI na Mpango wa Taifa wa Magonjwa Yaliyokuwa hayapewi Kipaumbele.

Habari Picha 10138

Kikao hicho kimeratibiwa na Wizara ya Afya,  kwa kushirikiana na Ofisi ya Rais TAMISEMI, Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu pamoja na wadau wakiwemo  Shirika la Afya DUNIANI( WHO), Shirika la Kuhudumia Watoto Duniani(UNICEF), Amref Tanzania, Action Against Hunger, SIKIKA na Tanzania Red Cross Society.

 

You Might Also Like

Mfumo Wa KieletronikiWa Albino Kurahisisha Kuwatambua – Ridhiwani

Kameta awaasa watanzania kutonunuliwa  kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mtaa, Mkuu

Ridhiwan Kikwete Apongeza Halmashauri Ya Tunduma

CCM Yasitisha Ratiba ya Uchaguzi wa Maoni

Biteko Amwakilisha Rais Samia Harambee Ujenzi Kanisa Katoliki

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article TUGHE Yatoa Wito Kwa Wafanyakazi Kujitokeza Kupiga Kura
Next Article CWT Yatoa Wito Kwa Walimu Kujitokeza Kupiga Kura Oktoba 29 
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Dkt. Ikomba wa CWT Aeleza Jinsi Elimu Ilivyobadilisha Taswira ya Tanzania kwa Miaka 64
Habari December 9, 2025
Profesa Ndunguru: Mtafiti Aliyejitoa Kusaidia Dunia Kupata Chakula Cha Baadae
Makala December 9, 2025
Profesa Ndunguru Abainisha Mwelekeo Mpya Wa Mageuzi Ya Kilimo Duniani
Habari December 9, 2025
TPDC na PURA Hakikisheni Watanzania Wananufaika na Rasilimali za Mafuta na Gesi- Salome
Habari December 8, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?