MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Serikali Kuendelea Kuboresha Sheria za Ulinzi wa Watoto
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Serikali Kuendelea Kuboresha Sheria za Ulinzi wa Watoto
Habari

Serikali Kuendelea Kuboresha Sheria za Ulinzi wa Watoto

Author
By Author
Share
2 Min Read

Na Mwandishi Wetu
SERIKALI imesema imeijidhatiti kuendelea kufanyia maboresho sheria za ulinzi wa watoto ili ziweze kuendana na wakati huu wa sasa kwa maslahi mapana ya kuwalinda watoto.

Hayo yamesemwa leo Agosti 30, 2024 na Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Dkt. Pindi Chana alipokuwa akichangia Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria mbalimbali za Ulinzi wa Mtoto wa Mwaka 2024.

“Sisi kama Serikali ni wajibu wetu kuhakikisha tunaleta Bungeni sheria za Watoto ili zifanyiwe maboresho” Chana amesisitiza.

Kuhusu hoja ya namna ya kudhibiti mitandao ya kijamii na uharibifu wa mitandao hususan kwa Watoto, . Chana ameishukuru Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia kwa kuendelea kudhibiti baadhi mitandao yenye maudhui potofu kwa ajili ya kuwalinda Watoto.

Aidha, amesema pamoja na mambo mengine Serikali imeendelea kuboresha muhimili wa mahakama zikiwemo mahakama za watoto na kupunguza mlundikano wa kesi, kuboresha majengo ya mahakama ambapo kuna mahakama katika wilaya takribani 137 nchini ambako kwenye mahakama zote kuna mahakama za Watoto.

Pia, amefafanua kuwa Serikali inaendelea kuhakikisha kwamba maamuzi ya kesi za Watoto yanatoka haraka katika mahakama kwa sababu serikali inafahamu watoto wana haki ya elimu huku akimpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kuteua Majaji na Mahakimu ambao wanaosimamia kesi hizo za Watoto.

Katika hatua nyingine, Chana amesema Serikali imefunga video conference inayowezesha kesi kuendeshwa wakati watuhumiwa/wahalifu wakiwa bado magerezani na pia kwa kuona umuhimu wa elimu kwa Watoto Serikali imejipanga kufanya maboresho kwa kutumia e-learning wakati watoto wakiwa katika vifungo vyao ili kuwepo na haki ya wao kupata elimu.

You Might Also Like

Kuelekea Uchaguzi Mkuu, Waandishi Watakiwa Kuandika Kwa Usahihi

TASU yaiomba serikali inunue meli kutoa ajira kwa mabaharia

Vyama Vya Wafanyakazi Kujadili Hatma Ya Wafanyakazi TAZARA

Sheria ya ajira, mahusiano kazini ipitiwe upya

Muhimbili yarejesha tabasamu kwa Karume baada ya miaka 25 ya mateso

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article TPHPA yaonyesha ufanisi mkubwa udhibiti wa panya, kwelea kwelea
Next Article Majaliwa ataka kuondolewe vikwazo vya rufaa za matibabu Afrika Mashariki
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

NSSF Yaendelea Kutoa Elimu Ya Hifadhi Ya Jamii ‘ Karibu Tukuhudumie’
Habari June 21, 2025
Wananchi Watakiwa Kutowachagua Watoa Rushwa
Habari June 19, 2025
Kihenzile: Mifumo Ijengwe Kuhakikisha Huduma Zinapatikana Kwa Haraka, Salama, Zenye tija
Habari June 19, 2025
MOI Yawasogelea Dodoma, Mikoa Jirani
Habari June 19, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?