MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Sekta Ya Madini Yazidi Kupaa,  Mchango Wake Kwa Pato La Taifa Waongezeka 
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Sekta Ya Madini Yazidi Kupaa,  Mchango Wake Kwa Pato La Taifa Waongezeka 
Habari

Sekta Ya Madini Yazidi Kupaa,  Mchango Wake Kwa Pato La Taifa Waongezeka 

Author
By Author
Share
4 Min Read
Na Lucy Lyatuu, Dodoma
KATIKA kipindi cha siku 100  tangu Rais Dkt Samia Suluhu Hassan aingie madarakani,  Wizara ya  Madini  imepiga hatua kubwa katila kuleta mchango mkubwa wa  ongezeko  katila pato la uchumi wa  nchi kutoka adilimia 10 na kufikia asilimia 12.
Waziri wa Madini Anthony Mavunde amesema yapo  mafanikio katika myanja mbalimbali ndani ya Sekta ya Madini katika kipindi hicho ambapo Sekta  hiyo imefanikiwa kukusanya kiasi cha Sh bilioni 311 ambayo sawa na asilimia 103.
Waziri Mavunde amebainisha hayo alipokuwa akizungumza na vyombo vya habari jijini Dodoma kuhusu mafanikio mbalimbali katika Sekta ya Madini nchini.
Amesema  Sekta  hiyo  inakuwa siku hadi siku ambapo uongezaji thamani kwenye madini  zipo hatua kadha wa kadha ambazo zimechukuliwa.
“Kupitia Sera ya Madini ya Mwaka 2009, ndani ya siku 100 Sekta ya Madini imefanikiwa kutekeleza sera ya uongezaji thamani madini ikiwa pamoja na uendelezaji wa ujenzi wa viwanda vya uongezaji thamani na usafishaji wa dhahabu katika maeneo mbalimbali nchini,” Amesema na kuongeza kuwa mbapo mpaka sasa mkoa wa Dodoma una jumla ya viwanda tisa vya uongezaji thamani na viwanda vya vinne vya madini ya metali kama vile Shaba na nikeli.
Ameongeza kuwa Serikali kupitia Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) imefanikiwa kujenga kiwanda cha kusafisha madini ya chumvi kitakacho   hudumia mikoa ya Lindi na Mtwara ambacho tayari kimekamilika kwa asilimia 99.
Aidha amesema ndani ya Januari ma Februari, 2026 Wizara inatarajia kuwasha kwa majaribio kiwanda kikubwa cha kuyeyusha madini kilichopo jijini hapo.
Kuhusu ushirikishwaji wa watanzania katika mnyororo wa thamani madini, Waziri Mavunde ameeleza kuwa Sekta ya Madini imefanikiwa kuajiri jumla ya watanzania 18,000 katika ajira za moja kwa moja huku zaidi ya watanzania 6,000,000 wakijihusisha na shughuli mbalimbali za mnyororo wa thamani madini.
Habari Picha 10942
Waziri Mavunde ameongeza kuwa, awali migodi ilikuwa ikitumia kiasi cha Sh trillion tano katika manunuzi nje ya nchi, lakini kutokana na mabadiliko ya Sheria na Kanuni, Sekta ya Madini imefanikiwa kuwezesha asilimia 90 ya mapato yote yatokanayo na shughuli za madini kubaki nchini kwa lengo la kuwanufaisha watanzania.
Kuhusu  wachimbaji wadogo wa madini, Mavunde amesema kuwa, Serikali kupitia Sekta ya Madini imefanikiwa kununua mitambo 15 ya uchorongaji miamba, kutoa leseni 511 kwa vikundi vya wachimbaji wadogo katika mikoa ya Geita na Shinyanga pamoja na kuwapatia mkopo wa shilingi bilioni 30 kupitia taasisi za fedha kama njia mojawapo ya kuwezesha kuendelea na shughuli za uchimbaji na uchenjuaji madini.
Ameongeza kuwa Serikali imefanikiwa kuweka mpango wa kununua mitambo mikubwa aina ya CIP yenye uwezo wa kuchenjua tani 120 kwa saa  pamoja na kuanzisha mfuko wa dhamana ili kuwawezesha na kuwajengea uwezo wachimbaji.
Habari Picha 10943
Amesema Katika kuhakikisha utoaji wa taarifa sahihi za kiuchunguzi wa maabara kwa sampuli za madini na miamba,serikali kupitia taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST) imefanikiwa kuanza ujenzi wa maabara ya kisasa katika mkoa wa Dodoma,Geita na Chunya kwa lengo la kuongeza wigo wa huduma ndani na nje ya nchi. Aidha Tanzania na Taasisi Jiolojia ya Finland (GTK) kwa pamoja zimekubaliana kuwajengea uwezo wa kitaalamu watumishi wa GST.

You Might Also Like

Bajeti ya TUGHE 2025 Yaidhinishwa

CMSA Yatoa Elimu ya Uwekezaji kwa Wananchi na Wakulima Nanenane

Ridhiwani Kikwete Akagua Maandalizi ya Kilele Mbio za Mwenge Jijini Mwanza

TSB Yasisitiza Umuhimu Kuwekeza Kwenye Uchakataji Wa Mkonge

CAG Aipongeza TARURA Kwa Ujenzi Wa Miundombinu

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Nishati Safi Ya Rafiki Briquettes Iwafikie Watanzania Wote-Balozi Kingu
Next Article Dira za Maji Kumaliza Kero ya Ankara
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Mbunge Asisitiza Sheria za Majiko Safi Ili Kulinda Mazingira
Habari February 3, 2026
Mwalunenge: Bila Rasilimali Watu Na Mtaji, Mipango Ya Kilimo Haitafanikiwa
Habari February 3, 2026
Gulamali Ahoji Bungeni Changamoto ya Mawasiliano Ilongelo
Makala February 3, 2026
Serikali Yaendelea Kuimarisha Uhuru wa Mahakama – Nchimbi
Habari February 2, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?