MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Samia Kukagua Barabara Ya Mzunguko, Uwanja Wa Ndege Msalato Kesho
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Samia Kukagua Barabara Ya Mzunguko, Uwanja Wa Ndege Msalato Kesho
Habari

Samia Kukagua Barabara Ya Mzunguko, Uwanja Wa Ndege Msalato Kesho

Author
By Author
Share
1 Min Read
Na Danson Kaijage.
DODOMA: RAIS Samia Suluhu Hassan kesho tarehe 14, Juni 2025 atakagua maendeleo ya ujenzi wa Barabara ya Mzunguko wa nje wa Dodoma Km 112 na Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Msalato.
Katika ziara hiyo, Rais  Samia ataambatana na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB),  Akinwumi Adesina.
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma,  Rosemary Senyamule amesema ziara hiyo itakayoanzia eneo la Mtumba-Veyula – Msalato itahitimishiwa kwa Rais   Samia kuzungumza na  wananchi katika eneo la Nala na hivyo kuwataka wananchi kujitokeza kwa wingi kushuhudia utekelezaji wa miradi mikubwa na ya kimkakati inayoendelea mkoani Dodoma.

You Might Also Like

Sera mpya ya biashara irahisishe ufanyaji biashara

Vyuo vya Kilimo vishirikishwe mradi wa BBT

PURA Yajipanga Gesi Asilia Itumike Kwenye Magari

Senene Waongezewa Thamani UDSM

Rais Samia akunwa na Tarura

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Wanafunzi Kutoka Veta Kushiriki Mafunzo Japan
Next Article Dkt. Adesina Wa AfD Avutiwa Na Mwenendo Uchumi Wa Tanzania
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Wananchi Watakiwa Kutowachagua Watoa Rushwa
Habari June 19, 2025
Kihenzile: Mifumo Ijengwe Kuhakikisha Huduma Zinapatikana Kwa Haraka, Salama, Zenye tija
Habari June 19, 2025
MOI Yawasogelea Dodoma, Mikoa Jirani
Habari June 19, 2025
Serikali Yatumia Zaidi Ya Bilioni 100 Kupeleka Umeme Simiyu
Habari June 19, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?