MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Ridhiwani Kikwete Awataka Vijana Kuwa Mabalozi Wazuri wa Amani
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Ridhiwani Kikwete Awataka Vijana Kuwa Mabalozi Wazuri wa Amani
Habari

Ridhiwani Kikwete Awataka Vijana Kuwa Mabalozi Wazuri wa Amani

Author
By Author
Share
1 Min Read
Na Mwandishi Wetu
DAR ES SALAAM: Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu  Ridhiwani Kikwete amesema serikali imechukua hatua mbalimbali kuhakikisha inatatua changamoto zinazowakabili vijana.
Ridhiwani amesema hayo alipomwakilisha Waziri Mkuu Kassim Majaliwa katika kufunga Kongamano la Kitaifa la Agenda ya Amani na Usalama kwa Vijana lililofanyika mkoani Dar Es Salaam.
Ametaja hatua hizo serikali ilizochukua kuwa ni ukosefu wa kazi, athari za matumizi mabaya ya teknolojia ama mitandao katika kupashana taarifa muhimu zinazowahusu vijana, uundwaji wa Baraza la Vijana na uwezeshwaji.
Ametaka vijana kuwa mabalozi wa amani na usalama, vile vile kuwa walinzi wa nchi.

You Might Also Like

Program Ya Maeneo Yaliyochakaa Nchini Yaandaliwa

LATRA Kuwapiga ‘Stop’ Wasiokamilisha Utaratibu, Tiketi Mtandao

Ridhiwani Kikwete Azindua Miradi Ya Thamani Ya Bil. 1.7 Songwe

Miradi Dodoma Yamkuna Rais Samia

Malecela Aibuka Kidume Dodoma Mjini, Mavunde Ang’aa Mtumba

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Kijiji Cha Nzinga Kibaoni Kilwa Chapata Umeme
Next Article Samia Azindua Shule ya Msingi ya Mchepuko wa Kiingereza Songea
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Bodi ya Maziwa Yatoa Mafunzo ya Ubora, Usalama wa Maziwa Katika Maonyesho ya Nane Nane
Habari August 7, 2025
Balozi wa Tanzania Nchini Italy Afurahishwa  Ubunifu wa TPHPA Maonesho ya Nanenane
Habari August 7, 2025
Wadau Wakaribishwa Kuwekeza Katika Uchakataji, Biashara ya Mkonge Nchini
Habari August 7, 2025
Mramba Afungua Mafunzo Ya Teknolojia Ya Nishati Jua Kwa Watalaam
Habari August 7, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?