Nenda moja kwa moja kwenye maudhui
November 7, 2026
Habari Lucy Ngowi 2

Ridhiwan Kikwete awasilisha taarifa mwenendo wa ulipaji mafao

Na Mwandishi Wetu
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi,Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Ridhiwani Kikwete ameongoza timu ya Wizara yake kuwasilisha taarifa ya mwenendo wa Ulipaji wa mafao ya Wastaafu Bungeni.
Ridhiwan amesema katika  kikao hicho, serial imewahakikishia kuwa changamoto zilizokuwa zinakabili mifuko zimeendelea kutatuliwa na wanachama wakiendelea kulipwa ndani ya muda wa siku 60.
Je, habari hii ilikusaidia?
Sambaza

Maoni 0

Hakuna maoni bado. Kuwa wa kwanza kutoa maoni!

Acha maoni

Barua pepe yako haitachapishwa. Sehemu zenye * ni lazima.