MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: RC Dodoma Atoa Maagizo Kwa Ma – DC Kuhusu Ukame
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > RC Dodoma Atoa Maagizo Kwa Ma – DC Kuhusu Ukame
Habari

RC Dodoma Atoa Maagizo Kwa Ma – DC Kuhusu Ukame

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
2 Min Read

Na Danson Kaijage

DODOMA: MKUU wa Mkoa wa Dodoma Rosemary Senyamule amewaagiza wakuu wa wilaya zote za mkoa huo kufanya tafiti na kurejesha majibu haraka juu ya hali ya chakula katika maeneo yao.

Senyamule ametoa maagizo hayo kwenye kikao cha kamati ya Ushari Mkoa wa Dodoma kilichokuwa kikijadili mambo mbalimbali ya kimaendeleo ikiwemo hali ya ukame inayoendelea nchini.

Kiongozi huyo wa Mkoa amesema kuna kila sababu ya kufanya utafiti wa kina  ili kujua hali ya chakula ikoje kila wilaya kwa nia kuweka utaratibu  wa kujipanga kukabiliana na hali hiyo pindi itakapoonekana kuna hali ya uhitaji wa chakula hapo mbeleni.

Katika hali nyingine amewataka wananchi wa Mkoa wa Dodoma kuhakikisha wanatunza chakula, wasitumie nafaka kwa ajili ya kutengenezea pombe

Kutokana na hali ya ukame inayoendelea amewashauri wafugaji kuvuna mifugo na kununua chakula huku akieleza kuwa kuna uwezekano mkubwa wa hata hiyo mifugo kukosa malisho kama hali ya hewa itaendelea hivyo.

Sambamba na hilo amehimiza juhudi za makusudi kuendelea kufanyika kwa kuwahimiza wakulima kulima kilimo cha umwagiliaji pale inapowezekana ili kufanikisha kupata mazao yanayostahili kulimwa sehemu husika.

Kwa upande mwingine, Mbunge wa jimbo la Kongwa Job Ndugai ametoa ushauri kwa Jiji kuona namna ya kufanya uwekezaji mkubwa ambao utabeba Mkoa mzima hasa kwa upande wa elimu.

Amesema kutokana na Jiji kuwa na mapato makubwa kuna kila sababu ya kujenga shule kubwa ya bweni ambayo itaweza kuwahudumia wanafunzi wengi ambao watakuwa wamekosa nafasi katika shule za wilaya wanazoishi.

 

 

You Might Also Like

July 10, 2025

Polisi Yatoa Onyo Kali Kwa Waganga wa Tiba Mbadala

Samia Kukagua Barabara Ya Mzunguko, Uwanja Wa Ndege Msalato Kesho

Sekta Ya Madini Yazidi Kuchangia Ukuaji Wa Uchumi – Majaliwa

Ridhiwani Ateta na Viongozi wa Vijiji Lugoba, Chalinze 

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Watumishi Wanawake Wa TEA wajitoa Kwa Jamii
Next Article Watuhumiwa 25 Wa Makosa Ya Mtandao Wakamatwa Na Polisi
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Vitabu Vya Sauti Kuvutia Vijana, Serikali Yapongeza Ubunifu Wa Mkuki Na Nyota
Habari November 22, 2025
Ubora Wa E & D Vision Publishing Wamkuna Waziri Kabudi Maonyesho Ya Vitabu Dar
Habari November 22, 2025
Kabudi: Vitabu Ni Tiba, Atoa Wito Kuimarisha Maktaba, Uchapaji 
Habari November 22, 2025
Kwagila Awataka Wasimamizi Wa Elimu TAMISEMI Kuwajibika Kikamilifu
Habari November 21, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?