MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Rasmi Leo DSM Kuanza Biashara Saa 24
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Rasmi Leo DSM Kuanza Biashara Saa 24
Habari

Rasmi Leo DSM Kuanza Biashara Saa 24

Author
By Author
Share
1 Min Read

Na Lucy Ngowi

DAR ES SALAAM: HATIMAYE Biashara ya saa 24 kuanza leo katika eneo la Kariakoo, Mkoa wa Dar es Salaam.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila ameeleza hayo jana usiku akiwa katika maeneo ya Kariakoo.

Amesema kwa siku tatu mfululizo kuanzia leo hadi Februari 27, 2025 unafanyika  uhamasishaji kwa umma  kuhusu uanzaji rasmi wa ufanyaji biashara kwa saa 24.

Amesema Kariakoo ni eneo la uzinduzi lakini wilaya nazo zitaendelea kufanya hivyo Katika maeneo yao ili kuweza kurasimisha biashara saa 24.

Chalamila amesema Mataifa yaliyoendelea hufanya biashara saa 24 ambayo hupanua wigo wa ajira kwa vijana, lakini pia kodi huongezeka.

“Kwa kuwa Mkoa huu ni kitovu cha Biashara kwa kufanya hivyo vijana watapata fursa za kujiajiri na TRA pia itaweza kukusanya mapato mengi zaidi,” amesema.

Mkuu huyo wa mkoa, amewahakikishia wafanyabiashara usalama wa kutosha kwa kuwa miundombinu ya kiusalama inaendelea kuimarishwa ikiwemo kuwekwa taa na Camera  katika Mitaa.

Pia amesema baada ya uzinduzi huo anatarajia kuunda kamati itakayoongozwa na Katibu Tawala wa Mkoa Dkt. Toba Nguvila kwa ajili ya kupitia sheria zinazokinzana na kufanya biashara saa 24 hasa Sheria ndogo ndogo za Halmashauri za Manispaa.

You Might Also Like

Tanzania Ipo Tayari Kwa Mazungumzo Ya Urejeshwaji Malikale

Rais Samia kufungua mkutano wa Mawaziri wa Uvuvi

ALAT Kujadili Ripoti Ya CAG

Tutumie Mitandao Kwa Matumizi Yenye Manufaa – Kilimbe

Matumizi Holela Ya Vilevi Hatari Kwa Watumiaji

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Ridhiwani Kikwete Azindua Miradi Ya Thamani Ya Bil. 1.7 Songwe
Next Article Mafanikio Ya TEA Kwa Serikali Awamu Ya Sita;Miradi Ya Elimu 3,768 Yatekelezwa, Bil. 49.5 Zatumika
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Nyanya Cheri na Ngogwe Chungu Zarejea 
Habari July 13, 2025
NFRA Yawaalika Wadau Kununua Nafaka kwa Masoko ya Ndani na Nje
Habari July 13, 2025
Kafulila: Ushirikiano wa Sekta Binafsi na Umma Kuboresha Huduma
Habari July 13, 2025
Teknolojia Mpya Ya Uchomeleaji Yaleta Mapinduzi VETA Dodoma
Habari July 12, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?