MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Rais wa CWT Atoa Salamu Za Kwaresma, Ramadhani
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Rais wa CWT Atoa Salamu Za Kwaresma, Ramadhani
Habari

Rais wa CWT Atoa Salamu Za Kwaresma, Ramadhani

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
1 Min Read
Na Mwandishi Wetu
CHAMA cha Walimu Tanzania (CWT) kinawatakia waumini wote kipindi chenye baraka cha Kwaresma na Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Salamu hizo zimetolewa na Rais wa CWT, Dkt. Suleiman Ikomba, akieleza kuwa vipindi hivi adhimu katika kalenda za imani vinakumbusha umuhimu wa toba, subira, unyenyekevu, kujitafakari na kuimarisha upendo kwa jirani.
Amesema ni wakati wa kuongeza mshikamano, kusaidiana na kuendeleza maadili mema katika familia, maeneo ya kazi na jamii kwa ujumla.
Akizungumza na walimu, Dkt. Ikomba amesema kuwa wao ni nguzo muhimu ya malezi na makuzi ya Taifa, hivyo vipindi hivi viwe chachu ya kuimarisha wito wa ualimu kwa moyo wa kujitolea, uvumilivu na uzalendo.
Amewahimiza waendelee kuwa taa inayoangaza kizazi cha sasa na kijacho kwa maarifa na maadili.
Aidha, amewataka viongozi na wadau wa elimu kutumia kipindi hiki kuimarisha ushirikiano, maelewano na mshikamano katika kuendeleza sekta ya elimu kwa ustawi wa wanachama na Taifa kwa ujumla.
Amesisitiza umuhimu wa kudumisha amani, umoja na mshikamano kama msingi wa kufikia maendeleo endelevu ya CWT na nchi.
Amemwomba Mwenyezi Mungu awajalie wote afya njema, hekima na mafanikio katika kipindi hiki na baada yake.

You Might Also Like

TRAWU Yapigania Wafanyakazi TAZARA Nyongeza Ya Mshahara

TMDA Kudhibiti Bidhaa Za Tumbaku Ili Wananchi Wasiendelee Kupata Madhara

Program Ya Maeneo Yaliyochakaa Nchini Yaandaliwa

Miaka Minne Ya Samia, TANESCO Yajivunia Kudhibiti Upotevu Wa Umeme

Ofisi Ya Mwandishi Mkuu Wa Sheria Yakamilisha Rasimu Ya Sheria 446 Kwa Lugha Ya Kiswahili

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Diwani Kata Ya Majengo Awasihi Wananchi Kufanya Kazi Kwa Bidii
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Diwani Kata Ya Majengo Awasihi Wananchi Kufanya Kazi Kwa Bidii
Habari February 16, 2026
Tanzania Yalenga Kufikia Asilimia 51 Ya Ushiriki Wa Wanawake Katika Sayansi
Habari February 14, 2026
Makamu wa Rais Asisitiza Ubunifu, Uwekezaji Soko La Hisa La Dar es Salaam
Habari February 13, 2026
JAB Yasisitiza Ithibati Kama Njia ya Kuimarisha Ubora na Uaminifu wa Habari
Habari February 13, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?