Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama ambae pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akiwa katika matukio tofauti tofauti wakati wa hafla ya kufunga zoezi la medani ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Miaka 60 ya jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Msata Mkoani Pwani leo August 23,2024.