Na Mwandishi Wetu
Rais Samia Suluhu Hassan akizindua Skuli ya Maandalizi Ya Tasani iliyopewa jina la Dkt, Samia Suluhu Hassan iliyopo Makunduchi, Zanzibar ikiwa ni sehemu ya Shamrashamra za Tamasha kubwa la Kizimkazi 2024 leo Agosti 20, 2024.
Shule hiyo imejengwa kwa udhamini wa Benki ya NMB kwa gharama ya Sh Milioni 800.