MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Rais Samia aweka Jiwe la Msingi kwenye mradi wa Suluhu Sports Academy
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Rais Samia aweka Jiwe la Msingi kwenye mradi wa Suluhu Sports Academy
Habari

Rais Samia aweka Jiwe la Msingi kwenye mradi wa Suluhu Sports Academy

Author
By Author
Share
1 Min Read
Na Mwandishi Wetu
RAIS Samia Suluhu Hassan leo Agosti 22,2024 ameweka Jiwe la Msingi la mradi wa Ujenzi wa Suluhu Sports Academy iliyojengwa na wadau wa Maendeleo wakiongozwa na CRDB Foundation.
Katika Mradi huo kutakuwa viwanja vya michezo mbalimbali ikiwemo Uwanja wa mpira wa miguu wenye uwezo wa kuchukuwa Watazamaji 20,000.
Awamu ya kwanza ya Ujenzi wa academy hiyo inatarajiwa kukamilika Aprili mwakani.
Uwekaji wa Jiwe la Msingi ni sehemu ya Shamrashamra za Tamasha la Kizimkazi festival 2024.

You Might Also Like

Watumishi wa serikali watakiwa kutokuwa kikwazo kwa wawekezaji

TARI Yawafikia Wakulima Kilosa, Kilimo Shadidi Cha Mpunga

VETA Yatembelea Kiwanda Cha Kutengeneza Nyumba Bila Kutumia Tofali

Wagonjwa Wenye Maumivu Makali Kupatiwa Tiba Radiolojia MNH

Kanisa lakabidhi jengo la watoto la milioni 595 kwa serikali

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Aliyeachishwa kazi kulipwa miezi 12, stahiki nyingine
Next Article TMA yatoa mwelekeo mvua za vuli 2024
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Tulia Atoa Taarifa Kifo Cha Ndugai
Habari August 6, 2025
Tume ya Kurekebisha Sheria Yaelimisha Umma Kuhusu Haki za Wanyama
Habari August 6, 2025
Bundi Wasaidia Kupambana na Panya: Teknolojia Asilia Inayobadili Maisha ya Wakulima
Habari August 6, 2025
Ofisa wa TARI Kuwapo Kila Kituo cha Umwagiliaji – Naibu Katibu Mkuu
Habari August 6, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?