MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Rais Samia Awakumbuka Wazazi Wanaojifungua Watoto Njiti
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Rais Samia Awakumbuka Wazazi Wanaojifungua Watoto Njiti
Habari

Rais Samia Awakumbuka Wazazi Wanaojifungua Watoto Njiti

Author
By Author
Share
1 Min Read

Na Lucy Ngowi

DODOMA:RAIS Samia Suluhu Hassan amebariki mabadiliko ya sheria itakayotambua hesabu za mapumziko ya mzazi atakayejifungua mtoto njiti.

Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi na Wenye Ulemavu, Ridhiwani Kikwete amesema hayo alipokuwa akifungua Mkutano Mkuu wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA), jijini Dodoma.

Ridhiwani amesema serikali ipo katika hatua za mwisho za sheria hiyo.

“Zamani ilikuwa mzazi akijifungua mtoto njiti suala la mapumziko ni huruma ya mwajiri. Sasa tunaanza kuhesabu siku mtoto aliyezaliwa mpaka miezi tisa, ndipo hapo unaanza kuhesabu miezi ya kawaida,” amesema.

You Might Also Like

Kumekucha Uzinduzi wa Washirika wa Tamasha, Tuzo Za Filamu Tanzania 2025

Mpango Kazi Wa Kupambania Haki Za Wenye Ulemavu Kuzinduliwa

Rais Samia Aipa Neema Miradi Ya Kuzalisha Umeme Iringa

Mbegu Bora za Miwa Zenye Tija ya Tani 200 kwa Hekta Zaendelea Kuwanufaisha Wakulima

TSB, Wizara ya kilimo yaweka mpango wa vituo vya usindikaji mkonge

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Waziri Ridhiwani Awataka Wafanyakazi Kuongeza Bidii Katika Kazi
Next Article Waziri Ridhiwani Akutana Na Balozi Wa Japan Nchini,  Wazungumzia Vijana
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Bodi ya Maziwa Yatoa Mafunzo ya Ubora, Usalama wa Maziwa Katika Maonyesho ya Nane Nane
Habari August 7, 2025
Balozi wa Tanzania Nchini Italy Afurahishwa  Ubunifu wa TPHPA Maonesho ya Nanenane
Habari August 7, 2025
Wadau Wakaribishwa Kuwekeza Katika Uchakataji, Biashara ya Mkonge Nchini
Habari August 7, 2025
Mramba Afungua Mafunzo Ya Teknolojia Ya Nishati Jua Kwa Watalaam
Habari August 7, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?