MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Rais Samia atambua mchango wa NHIF, WCF
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Rais Samia atambua mchango wa NHIF, WCF
Habari

Rais Samia atambua mchango wa NHIF, WCF

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
1 Min Read
Na Mwandishi Wetu
RAIS Samia Suluhu Hassan amekabidhi vyeti vya kutambua mchango wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), na Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF), kwa ajili ya kutambua mchango wao kwa jamii.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Ridhiwani Kikwete amesema hayo.
“Nimepokea vyeti vya kutambua mchango wa Mashirika yetu mawili NSSF  na WCF kwa mchango wao katika kurudisha kwa jamii.
“Vyeti hivyo vimetolewa na Rais Samia Suluhu Hassan,”amesema.
Amesema vyeti hivyo vimetolewa na Rais Samia kwa kuwa, mashirika hayo yamekuwa mstari wa mbele katika kuhakikisha yanajenga na kuwezesha jamii kujitegemea.
Amesema kupitia kazi zao na mapato yao, jamii imeendelea kufaidia kwa matokeo mbalimbali ususani uwekezaji unaofanyika.

You Might Also Like

Ridhiwan Azindua Jengo La Biashara La TUCTA-Arusha

Mwanafunzi UDSM Aja Na Nyama Ya Mimea

Mwongozo wa Mafunzo Elekezi Kwa Walimu Wapya Kazini Mbioni Kukamilika

TTCL Yawahakikishia Wateja  Miundombinu Yenye Kuboresha Maisha Yao

Kiswahili Kimeanza Kubanangwa- Kabudi

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Rais Samia na maadhimisho ya miaka 60 ya JWTZ
Next Article RAAWU na mafanikio iliyopata utawala wa Rais Samia
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Vitabu Vya Sauti Kuvutia Vijana, Serikali Yapongeza Ubunifu Wa Mkuki Na Nyota
Habari November 22, 2025
Ubora Wa E & D Vision Publishing Wamkuna Waziri Kabudi Maonyesho Ya Vitabu Dar
Habari November 22, 2025
Kabudi: Vitabu Ni Tiba, Atoa Wito Kuimarisha Maktaba, Uchapaji 
Habari November 22, 2025
Kwagila Awataka Wasimamizi Wa Elimu TAMISEMI Kuwajibika Kikamilifu
Habari November 21, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?