Na Mwandishi Wetu
DAR ES SALAAM: RAIS Samia Suluhu Hassan ambaye ni Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), akiwaongoza waombolezaji mbalimbali, wakiwemo viongozi wa Chama na Serikali, wakati wa kutoa heshima na kuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kigamboni na Mkurugenzi Mteule wa Shirika ka Afya Duniani (WHO), Kanda ya Afrika, Faustine Ndugulile, leo Jumatatu, Disemba mbili, 2024, katika Viwanja vya Karimjee, jijini Dar Es Salaam.



