MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Rais Samia Ameweka Alama Kwa Watumishi Wa Magereza Arusha,Awagawia Mitungi 528
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Rais Samia Ameweka Alama Kwa Watumishi Wa Magereza Arusha,Awagawia Mitungi 528
Habari

Rais Samia Ameweka Alama Kwa Watumishi Wa Magereza Arusha,Awagawia Mitungi 528

Author
By Author
Share
2 Min Read

Na Mwandishi Wetu

RAIS  Dkt. Samia Suluhu Hassan ameacha  alama mkoani Arusha kwa kugawa mitungi ya gesi 528 na majiko yake kwa watumishi wa jeshi la magereza mkoani ili kuhamasisha matumizi ya nishati safi na salama nchini.

Hayo yamebainishwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini (REB),  Balozi Meja Jenerali Mstaafu Jacob Kingu wakati wa  uzinduzi wa kugawa  majiko ya gesi kwa watumishi wa magereza iliyofanyika gereza kuu mkoani Arusha.

“Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan  ndiye kinara wa nishati safi ya kupikia nchini ambaye anaendelea kuhamasisha taasisi zinazohudumia watu zaidi ya 100 kutumia nishati safi na salama,” Amesema.

Ameongeza kuwa, Serikali imeendelea kuhamasisha na kuwataka watanzania wote kuhakikisha wanatumia nishati safi ya kupikia kama njia mahususi ya kutunza na kulinda mazingira na pia kuokoa uharibifu wa misitu.

 

Kwa upande wake, Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA),  Hassan Saidy amewaeleza watumishi wa magereza kuwa nishati safi ni salama kwa Taifa kwa kuwa inaondoa magonjwa yanayosababishwa na matumizi ya nishati isiyo safi na salama ya kuni na mkaa

“Ndugu zangu watumishi wenzangu, nawasihi sana kutumia nishati safi na salama katika matumizi yenu kwa sababu Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameweka fedha nyingi ili kila mtanzania atumie nishati safi ya kupikia kuliko kutumia kuni na mkaa,” Ameongeza  Saidy.

kuhusu Mkakati wa Taifa wa Mawasiliano wa Nishati safi ya kupikia ameeleza kuwa, lengo kuu la mkakati huo ni kuongeza uelewa wa wananchi na taasisi kuhusu umuhimu wa matumizi ya nishati safi ya kupikia na malengo mengine mahususi ni kuandaa na kutekeleza kampeni maalum za uhamasishaji wa matumizi ya nishati safi.

 

 

 

Kwa upande wake, Kaimu Mkuu wa Magereza mkoa wa Arusha, ACP Prosper Kapinga ameipongeza REA kwa tukio hilo muhimu la kugawa mtungi wa gesi na majiko ya sahani mbili na kusema kuwa inaonesha kwa vitendo juhudi za Serikali katika kuboresha maisha ya wananchi kupitia Nishati Safi ya Kupikia.

 

You Might Also Like

Mdemu Azindua Utafiti Uliofanywa na FES Kwa Kushirikiana Na COTWU – T

Erio atoa elimu ya bidhaa bandia kwenye mabanda nanenane

TRA Kupambana Na Wakwepa Kodi Kupitia Bandari Bubu

VETA Shinyanga Yatumia Kompyuta Kubuni Bidhaa 

Dodoma Yazizima Wakati Samia, Nchimbi  Wakichukua Fomu Ya Urais

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article IITA Kuleta Mabadiliko Ya Kilimo Afrika
Next Article IITA,TARI, TPHPA Wapambana Kudhibiti Ugonjwa Wa Fungashada Ya Migomba
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Majaliwa Apongeza Jeshi La Magereza Kurasimisha Ujuzi Kwa Wafungwa
Habari August 27, 2025
Mapokezi Ya Katibu Mkuu CCM  Dkt Migiro CCM, Aahidi Ushirikiano
Habari August 27, 2025
Majaliwa Aagiza Kuimarishwa kwa Mafunzo ya Ufundi Stadi Nchini
Habari August 27, 2025
VETA Yaanzisha Kozi Mpya ya Teknolojia ya Mifumo ya Viwandani
Habari August 26, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?