MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Waziri Mkuu Apongeza Huduma Kidijitali za NSSF, Maonesho Ya Madini Geita
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Waziri Mkuu Apongeza Huduma Kidijitali za NSSF, Maonesho Ya Madini Geita
Habari

Waziri Mkuu Apongeza Huduma Kidijitali za NSSF, Maonesho Ya Madini Geita

Author
By Author
Share
2 Min Read
Na Mwandishi Wetu
GEITA: WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa, ametembelea banda la Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) katika Maonesho ya Nane ya Madini yanayoendelea kwenye Viwanja vya Dkt. Samia Suluhu Hassan, Mkoani Geita.
Akiwa kwenye banda hilo ameipongeza NSSF kwa huduma zake za kidijitali kwa wananchi na wadau.
Habari Picha 9514
Waziri Mkuu Majaliwa akiwa kwenye banda hilo Septemba 22, mwaka huu  2025, amepokea maelezo kutoka kwa Meneja Uhusiano na Elimu kwa Umma wa NSSF, Lulu Mengele, kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu Masha Mshomba, kuhusu jitihada za Mfuko kutekeleza maelekezo ya Serikali ikiwemo kuhakikisha elimu ya hifadhi ya jamii inaendelea kutolewa kwa sekta binafsi na wananchi waliojiajiri.
Lulu amesema: “Mafanikio yetu makubwa yametokana na mwongozo wa Serikali wa kuhakikisha wananchi wanapata huduma bora, rahisi na kwa wakati kupitia mifumo ya kidijitali.”
Habari Picha 9515
Pia amemwonesha Waziri Mkuu mifumo ya kidijitali inayorahisisha upatikanaji wa huduma zote kwa mwanachama, ikiwemo huduma zinazopatikana kupitia simu za kiganjani, iwe ni simu janja au ya kawaida, ambapo wote wanahudumiwa na NSSF kidijitali.
“Wakati Serikali ya Awamu ya Sita inaingia madarakani, thamani ya Mfuko ilikuwa Sh.i Trilioni 4.8, na sasa imefikia Trilioni 9.9,” amesema.
Kwa upande wake, Meneja wa NSSF Mkoa wa Geita,  Winniel Lusingu, amewataka wananchi kutembelea banda la NSSF ili kupata elimu ya hifadhi ya jamii.

You Might Also Like

Rais Samia aweka Jiwe la Msingi kwenye mradi wa Suluhu Sports Academy

Chalamila: Ujenzi Daraja La Jangwani Waanza

Jeshi la polisi kumhoji anayesambaza taarifa za uongo

TARI yapongezwa kwa kuwa na teknolojia bora za kilimo

Majaliwa Asisitiza Serikali Itaendelea Kuboresha Mazingira Ya Uwekezaji

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Mkuu Wa Mkoa Shinyanga Asifu Kazi Ya Bodi Bima Ya Amana
Next Article BoT Yarahisisha Uuzaji wa Dhahabu kwa Wachimbaji, Yatoa Punguzo La Mrabaha
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Waziri Mkuu Majaliwa Akabidhi Tuzo kwa BoT Geita
Habari September 22, 2025
BoT Yarahisisha Uuzaji wa Dhahabu kwa Wachimbaji, Yatoa Punguzo La Mrabaha
Habari September 22, 2025
Mkuu Wa Mkoa Shinyanga Asifu Kazi Ya Bodi Bima Ya Amana
Habari September 22, 2025
REA Yapamba Maonesho Ya Kitaifa Ya Teknolojia Ya Madini Geita
Habari September 22, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?