MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: NIT Yajivunia Uanzishwaji Chuo Cha Marubani
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > NIT Yajivunia Uanzishwaji Chuo Cha Marubani
Habari

NIT Yajivunia Uanzishwaji Chuo Cha Marubani

Author
By Author
Share
4 Min Read
Na Danson Kaijage.
SERIKALI imejivunia hatua ya kukiwezesha   Chuo cha Taifa cha Usafirishaji(NIT), kujamilisha maandalizi ya utoaji wa mafunzo ya Urubani.
Mkuu wa Chuo cha NIT Dkt.Prosper Mgaya, amesema hiyo ni kutokana na  Chuo kukamilisha  matakwa ya kupata ithibati kutoka TCAA , hivyo mafunzo hayo yanatarajiwa kuanza mwezi Mei 2025.
Amesema katika kukiwezesha Chuo hicho kuanza mafunzo hayo Serikali mpaka sasa imetoa jumla ya takribani Sh.  Bilioni 6.
Amesema hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mafanikio na mwelekeo wa chuo hicho katika kipindi cha miaka minne ya Serikali ya Awamu ya Sita.
“Ifahamike kuwa kama nchi tumekuwa tukitegemea kwa kiasi kikubwa kupelekea watanzania kupata mafunzo ya urubani nje ya nchi. Hivyo Serikali na watanzania kwa ujumla tumekuwa tukitumia fedha nyingi sana za kigeni kusomesha marubani nje ya nchi.
Dk. Mgaya amwsema.kuwa kwa kuanzisha mafunzo hayo chuoni hapo  kutapunguza gharama ya mafunzo kwa takribani asilimia 50 – 60 ambazo watanzania wengi wanatumia kupata mafunzo hayo nje ya nchi. Kuanza kwa mafunzo haya hapa nchini kutaokoa  fedha za kigeni ambazo zimekuwa zikitumika.
Aidha amesema kuwa kuanza kwa mafunzo hayo kutaongeza idadi ya marubani wazawa hivyo kutapunguza kwa kiasi kikubwa utegemezi kwa marubani wa kigeni ambao gharama yake ni kubwa.
Ameeleza kuwa mafunzo ya urubani yanahitaji kuwa na wakufunzi na vifaa vya kufundishia vinavyokidhi vigezo vya kimataifa.
“Katika kuhakikisha Chuo kinaanza mafunzo ya Urubani Serikali imegharamia mafunzo ya wakufunzi watano ambao wamepata mafunzo haya nchini Afrika ya Kusini kwa Gharama ya Sh. Bilioni  1.5 ikiwa ni wastani wa Sh. Miioni 300 kwa kila mkufunzi.
Vilevile amesema Serikali imenunua ndege mbili za mafunzo aina ya Cesna 172 zenye injini moja ambazo tayari zipo nchini kwaajili ya kuanza mafunzo hayo.
“Ndege hizi zina thamani bil 2.9 na
serikali ipo katika taratibu za ununuzi wa ndege nyingine tatu ikiwa ndege moja ya injini mbili ambayo itawasili mwezi Oktoba 2025 ambayo ina thamani ya bil.5.9, na Ndege mbili za injini moja zitawasili mwaka 2026.
Pia amesema Serikali imetoa eneo lenye ukubwa wa Ekari 60 katika kiwanja cha KIA mahsusi kwaajili ya mafunzo hayo ambapo ujenzi wa miundombinu unaendelea.
Pamoja na hayo Dkt.Mgaya amesema Chuo hicho kinatekeleza Mradi wa Kujenga Ujuzi kwa Maendeleo na Uingiliano wa Kikanda katika Afrika Mashariki, ujulikanao kama “East Africa Skills for Transformation and Regional Integration Project (EASTRIP)”.
Amesema kupitia mradi huo, NIT itapokea Dola za Kimarekani Mil.21,250,000 sawa na shillingi za Kitanzania bil.49 kwa ajili ya kuanzisha Kituo cha Umahiri cha Mafunzo ya Taaluma za Usafiri wa Anga na Operesheni za Usafirishaji (Center of Excellence in Aviation and Transport Operations – CoEATO).
“Kupitia Mradi huo Serikali imekiwezesha Chuo kujenga majengo Matano katika Kampasi ya Mabibo -Dar es salaam ambao ujenzi wake kwa ujumla umefikia asilimia 97.
“Ujenzi huu utakamilika ifikapo mwezi June 2025.Gharama ya ujenzi wa majengo haya ni bil.24.9 ambapo mradi huu umefadhili ujenzi wa jengo la mafunzo ya urubani katika eneo la KIA ambalo Serikali imetoa,”amesema Dkt.Mgaya

You Might Also Like

Ridhiwan Atembelewa Na Watendaji NMB

Watakiwa kuzingatia sheria wanapohudumia walimu

Majaliwa Aagiza Sera Ya Elimu Kusimamiwa Kikamilifu

Mdemu Azindua Utafiti Uliofanywa na FES Kwa Kushirikiana Na COTWU – T

Askofu Akemea Midoli Kuvishwa Nguo Za Ndani

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Waziri Mkuu Mstaafu Pinda Atoa Neno Kwa Vijana, Maadhimisho Miaka 30 VETA
Next Article Biteko Agongea Msumari Elimu Ya Ufundi Stadi
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

NSSF Yaendelea Kutoa Elimu Ya Hifadhi Ya Jamii ‘ Karibu Tukuhudumie’
Habari June 21, 2025
Wananchi Watakiwa Kutowachagua Watoa Rushwa
Habari June 19, 2025
Kihenzile: Mifumo Ijengwe Kuhakikisha Huduma Zinapatikana Kwa Haraka, Salama, Zenye tija
Habari June 19, 2025
MOI Yawasogelea Dodoma, Mikoa Jirani
Habari June 19, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?