MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Mwenda: Tupo kwa ajili ya kuzitatua changamoto za wananchi
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Mwenda: Tupo kwa ajili ya kuzitatua changamoto za wananchi
Habari

Mwenda: Tupo kwa ajili ya kuzitatua changamoto za wananchi

Author
By Author
Share
2 Min Read
Na Lucy Ngowi
DODOMA: MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA), imejipanga kutatua kero za kikodi kwa wananchi waliokutana na changamoto mbalimbali.
Kamishna Mkuu wa TRA. Yusuph Juma Mwenda amesema hayo alipozungumza na waandishi wa habari katika Maonesho ya Wakulima, Wafugaji na wavuvi yanayoendelea Jijini Dodoma.
Mwenda amesema, ” ili eneo ni moja ya eneo ambalo tutachukua changamoto za kikodi za walipa kodi na kuzitafutia ufumbuzi wa haraka.
“Kwa hiyo nitoe wito wale wananchi wenye changamoto waje waonane na watu wetu waeleze wanachokihitaji wapate elimu,” amesema.
Pia amesema katika maonesho hayo TRA imejipanga kuhudumia walipa kodi kwa haraka kwenye maeneo mbalimbali wanayohitaji ili  kuyapatia ufumbuzi waweze kuchangia kodi.
Awali aliwataka watanzania waliofikia kiwango cha kulipa kodi , wafike katika banda la TRA kwenye maonesho hayo  ili   wapate elimu ya kodi, mabadiliko ya sheria na pia ikiwa ni pamoja huduma za kuwakadiria kiasi wanachopaswa kukilipia kutokana na biashara wanazozifanya.
Alisisitiza kuwa, kiongozi bora ni yule anayofanya yale anayopaswa kuyafanya na kumtolea mfano Rais Samia Suluhu Hassan kuwa anapaswa kuigwa yale anayoyafanya katika nchi kwa uadilifu.
“Kiongozi bora ni yule anayofanyq yale aliyoahidi kuyafanya. Kwa mfano kwa wafanyabiashara kulipa kodi kwa wakati.
“Rais Samia anachokifanya cha kodi zinazotolewa na wananchi, anazitumia vizuri katika kuliletea taifa maendeleo kwa mfano kujengea barabara, kuboreshea elimu katika maeneo tofauti, huduma za afya na maeneo mengine,” amesema.

You Might Also Like

Limeni mkonge unalipa – Maghali

TPHPA, KEM Wasaini Hati Ya Makubaliano Udhibiti Viuatilifu

Serikali Yazindua Mafunzo Ya Mtandao Ya Afya Moja

Miaka 30 YA TUGHE Yenye Mafanikio

‘Skills For Their Future’ Yanufaisha Wanafunzi Zaidi Ya 1000, Walimu 64 

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Rais Samia azindua bwawa la umwagiliaji Mtibwa
Next Article Silinde: Serikali bega kwa bega na wadau wa kilimo
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Tume ya Kurekebisha Sheria Yaelimisha Umma Kuhusu Haki za Wanyama
Habari August 6, 2025
Bundi Wasaidia Kupambana na Panya: Teknolojia Asilia Inayobadili Maisha ya Wakulima
Habari August 6, 2025
Ofisa wa TARI Kuwapo Kila Kituo cha Umwagiliaji – Naibu Katibu Mkuu
Habari August 6, 2025
Mbinu Mpya za Kilimo kwa Vijana Zapata Umaarufu Nanenane Banda La VETA
Habari August 6, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?