MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Mwambungulu Asisitiza Ushirikiano Na Serikali
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Mwambungulu Asisitiza Ushirikiano Na Serikali
Habari

Mwambungulu Asisitiza Ushirikiano Na Serikali

Author
By Author
Share
1 Min Read
Na Lucy Ngowi
Aiomba Serikali Kusaidia Vyama Vya Wafanyakazi
ARUSHA: MAKAMU wa Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA), Shabani Mwabungulu amesema shirikisho hilo litaendelea kushirikiana na serikali katika kuimarisha ustawi wa wafanyakazi na uchumi wa taifa kwa ujumla.
Habari Picha 8968
Amesema hayo alipokuwa akitoa salamu za shukrani kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Ridhiwani Kikwete katika hafla ya uzinduzi wa jengo la biashara la TUCTA, jijini Arusha.
Mwabungulu amesema ujenzi wa jengo la kisasa la TUCTA siyo tu utaimarisha shughuli za shirikisho hilo, bali pia utachangia pato la serikali kupitia kodi.
Habari Picha 8969
“Kupitia jengo hili, tutaweza kujiendesha kwa ufanisi zaidi na wakati huo huo kuchangia mapato ya serikali. Hii ni sehemu ya dhamira yetu ya kuwa wabia wa maendeleo ya taifa,” amesema.
Ametoa wito kwa serikali kuendelea kushirikiana na TUCTA kwa kusaidia kuviimarisha na kuvisimamia vyama vya wafanyakazi ili viwe na uwezo wa kutetea maslahi ya wanachama wao kwa ufanisi zaidi.
Habari Picha 8970
“Tunaomba usaidizi wa serikali katika kuboresha mazingira ya uendeshaji wa vyama vyetu. Ushirikiano huu ni muhimu kwa mustakabali wa haki na maendeleo ya wafanyakazi nchini,” amesema.
Habari Picha 8977

You Might Also Like

REA Kusambaza Majiko Banifu 10,650 Mkoa Wa Pwani

Afrika ijadili changamoto sekta ya utalii – UN

REA Yaupamba Mkutano Wa Kikanda Wa Nishati Bora 2024

Huduma ya Mahakama ya Mwanzo yasogezwa Wilaya ya Ubungo

Mafunzo Yatolewa Katika Kongamano La Jotoardhi

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article TUCTA Yapongezwa kwa Uwekezaji Mkubwa Arusha
Next Article Mpango Awaalika SADC Kutuma Timu ya Uangalizi wa Uchaguzi
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Majaliwa Apongeza Jeshi La Magereza Kurasimisha Ujuzi Kwa Wafungwa
Habari August 27, 2025
Mapokezi Ya Katibu Mkuu CCM  Dkt Migiro CCM, Aahidi Ushirikiano
Habari August 27, 2025
Majaliwa Aagiza Kuimarishwa kwa Mafunzo ya Ufundi Stadi Nchini
Habari August 27, 2025
VETA Yaanzisha Kozi Mpya ya Teknolojia ya Mifumo ya Viwandani
Habari August 26, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?