MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Mtaka, Ndunguru Wakubaliana Ujenzi wa Maabara ya Kimkakati Njombe
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Mtaka, Ndunguru Wakubaliana Ujenzi wa Maabara ya Kimkakati Njombe
Habari

Mtaka, Ndunguru Wakubaliana Ujenzi wa Maabara ya Kimkakati Njombe

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
1 Min Read

Na Mwandishi Wetu

MKUU wa Mkoa wa Njombe, Anthony Mtaka, amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Afya ya Mimea na Viuatilifu Tanzania (TPHPA), Joseph Ndunguru, kuhusu utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa maabara ya kimkakati mkoani humo.

Mazungumzo hayo yalilenga kukabidhi rasmi mkandarasi atakayehusika na usanifu wa michoro pamoja na usimamizi wa ujenzi wa Maabara ya Kimkakati na jengo la utawala, miradi itakayojengwa katika Mji wa Serikali wa Lunyanywi.

Akizungumza katika kikao hicho, Profesa Ndunguru alisema TPHPA pia imepiga hatua katika kupanua masoko ya mazao nje ya nchi baada ya kusaini mkataba wa kupeleka bidhaa 60 nchini Malawi, zikiwemo aina 30 za mazao yatakayouzwa katika soko hilo.

Habari Picha 11395

Kwa upande wake, Mtaka alimshukuru Profesa Ndunguru kwa kutambua nafasi ya Njombe katika uzalishaji wa chakula nchini.

Alisema ujenzi wa maabara hiyo ya kimkakati utakuwa na mchango mkubwa kwa wakulima na wafanyabiashara wa mazao kwa kuwawezesha kupata huduma za kisayansi, uhakiki wa ubora na ushauri wa kitaalamu kwa wakati.

Aliongeza kuwa uwepo wa maabara hiyo utaimarisha zaidi biashara ya mazao ya kilimo kutoka Njombe kwenda masoko ya ndani na nje ya nchi, sambamba na kuongeza thamani ya mazao yanayozalishwa na wakulima wa mkoa huo.

Habari Picha 11396

You Might Also Like

Shinyanga Kunufaika Na Miradi Ya REA,Wauziwa Mitungi 13,000 Kwa Ruzuku

Jeshi La Polisi Kufanya Ukaguzi Wa Hali Ya Juu Kwa Mashabiki Katika Mechi Za Simba Na Yanga

Dkt. Ikomba Wa CWT Asema, Walimu Wanafanya Kazi Zaidi Bila Kulipwa Stahiki Zao

Changamoto ya uelewa mwiba kwa wasafirishaji Comoro

TUGHE Yatoa Wito Kwa Wafanyakazi Kujitokeza Kupiga Kura

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Wataalamu wa Fedha SADC Wakutana Pretoria Kujadili Bajeti
Next Article Nchimbi Ahimiza Ushirikiano wa Wizara Katika Uhifadhi wa Mazingira
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Nchimbi Ahimiza Ushirikiano wa Wizara Katika Uhifadhi wa Mazingira
Habari March 10, 2026
Wataalamu wa Fedha SADC Wakutana Pretoria Kujadili Bajeti
Habari March 9, 2026
TASFAM Yawawezesha Wanawake wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi Kuadhimisha Siku ya Mwanamke
Habari March 9, 2026
Nyamhokya Atoa Wito kwa Wanawake Kusimama Imara Kiuchumi
Habari March 7, 2026
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?