MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Mpango wa Shule Salama Unaongeza ulinzi Kwa Watoto
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Mpango wa Shule Salama Unaongeza ulinzi Kwa Watoto
Habari

Mpango wa Shule Salama Unaongeza ulinzi Kwa Watoto

Author
By Author
Share
2 Min Read

Na Mwandishi Wetu
OFISA Elimu wa Mkoa wa Singida, Dkt. Elipidus Baganda, amesema Mpango wa Shule Salama katika shule za sekondari nchini unalenga kuboresha mazingira ya ufundishaji na ujifunzaji, pamoja na kuongeza ulinzi na usalama wa watoto.

Ameyasema hayo wakati akizungumza na washiriki wa mafunzo maalum ya Mpango wa Shule Salama, yaliyowakutanisha washiriki 275 kutoka mikoa ya Singida, Shinyanga, Tabora, na Simiyu.

Amesema mafunzo hayo ya siku tatu yamefanyika mkoani Singida, yakilenga kuwajengea uwezo washiriki ili kuhakikisha shule za sekondari zinatoa elimu bora kwa kuondoa vikwazo mbalimbali vinavyowakabili wanafunzi.

Mafunzo haya yamehusisha wenyeviti wa bodi za shule za sekondari 150, maafisa 12 kutoka ngazi za mikoa, maofisa maendeleo ya jamii ngazi ya mkoa, pamoja na waratibu wa Mpango wa Shule Salama.

Aidha, waratibu wa programu ya SEQUIP pia walishiriki katika mafunzo haya, ambayo ni sehemu ya Mpango wa Kuboresha Elimu ya Sekondari wa miaka mitano (2020-2025).

Dkt. Baganda alibainisha kuwa kumekuwepo na changamoto ya mdondoko wa wanafunzi katika shule za msingi na sekondari, jambo linalozuia wanafunzi kufikia malengo ya kielimu ambapo amesema Serikali imechukua hatua mbalimbali kupambana na changamoto hiyo ikiwa ni pamoja na kutoa elimu bila malipo na kujenga shule za sekondari karibu na makazi ya jamii, ili kupunguza umbali wa kufuata shule.

“Lengo kuu la mafunzo haya ni kuwapatia stadi na mbinu za usimamizi bora wa shule za sekondari ili kuhakikisha elimu inayotolewa inakidhi viwango vilivyokusudiwa. Mafunzo haya yanazingatia kuondoa vikwazo kama vile ukosefu wa chakula, utoro, na matumizi ya viboko, ambavyo mara nyingi huzuia wanafunzi kufikia malengo yao ya ufaulu”amesema Dkt.Bganda

You Might Also Like

Mtindi wa Korosho, Stafeli Wafanyiwa Utafiti UDSM

Silinde Akabidhi Nyaraka za Kufungua Masoko Mapya Nje ya Nchi

Serikali Yapambana Kutokomeza Magonjwa Yaliyokuwa Hayapewi Kipaumbele

TUCTA Yaainisha Mambo Matano Yanayohitaji Hatua Za Haraka

Majaliwa Asisitiza Matumizi ya Mifumo ya Kieletroniki Katika Makusanyo

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Wagonjwa wa Magonjwa Yasiyoambukiza waongezeka Temeke
Next Article Hazina yaanza kuwalipa wanachama 465 wa TALGWU
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

NSSF Yaendelea Kutoa Elimu Ya Hifadhi Ya Jamii ‘ Karibu Tukuhudumie’
Habari June 21, 2025
Wananchi Watakiwa Kutowachagua Watoa Rushwa
Habari June 19, 2025
Kihenzile: Mifumo Ijengwe Kuhakikisha Huduma Zinapatikana Kwa Haraka, Salama, Zenye tija
Habari June 19, 2025
MOI Yawasogelea Dodoma, Mikoa Jirani
Habari June 19, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?