MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Mongella Atoa Maagizo Maalum Kwa Viongozi CCM
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Mongella Atoa Maagizo Maalum Kwa Viongozi CCM
Habari

Mongella Atoa Maagizo Maalum Kwa Viongozi CCM

Author
By Author
Share
1 Min Read
Na Mwandishi Wetu
NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Bara, John Mongella, ametoa maagizo maalum kwa viongozi wa chama hicho, akiwahimiza kuhakikisha kuwa wanachama wanandikishwa kuanzia ngazi ya shina hadi taifa.
Mongella ametoa maagizo hayo alipomtembelea Balozi wa Shina namba tatu, Safina Masanja Kitundu, katika tawi la Buduhe, Halmashauri ya Kishapu mkoani Shinyanga.
Amesisitiza kuwa CCM ni chama chenye heshima na nafasi muhimu katika kulinda mustakabali wa nchi. hivyo, ni muhimu kuhakikisha  uandikishaji wa wanachama unafanywa kwa ufanisi.
Amesisitiza umuhimu wa kuandikisha wanachama wengi katika jumuiya za UWT, Wazazi, na Vijana, ili kukifanya chama kiwe imara.
Mongella pia amebainisha kuwa siri ya mafanikio ya chama ni kujikita kwenye mashina na kufanya kazi kwa karibu na mabalozi.
Ziara yake ya siku saba mkoani Shinyanga inatarajiwa kuhitimishwa baada ya kukagua utekelezaji wa Ilani ya CCM ya 2020-2024 na kuimarisha uhai wa chama.

You Might Also Like

Mgahawa unaotembea fursa kwa vijana, kutoa huduma ya unywaji wa kahawa

Wahifadhi Saohill Wapongezwa

NIT Yasema Ina Uwezo Wa Kufundisha Kozi Ya Urubani

Uvuvi Wa Kisasa Wainua Mwanza Kiuchumi

Rais Samia awasili China kushiriki mkutano wa FOCAC

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article COSTECH yazindua program kuwajengea uwezo wanawake kidijitali
Next Article Wahifadhi Saohill Wapongezwa
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Tume ya Kurekebisha Sheria Yaelimisha Umma Kuhusu Haki za Wanyama
Habari August 6, 2025
Bundi Wasaidia Kupambana na Panya: Teknolojia Asilia Inayobadili Maisha ya Wakulima
Habari August 6, 2025
Ofisa wa TARI Kuwapo Kila Kituo cha Umwagiliaji – Naibu Katibu Mkuu
Habari August 6, 2025
Mbinu Mpya za Kilimo kwa Vijana Zapata Umaarufu Nanenane Banda La VETA
Habari August 6, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?