MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Mnyororo wa Biashara Kariakoo Unafanywa Na Wageni
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Mnyororo wa Biashara Kariakoo Unafanywa Na Wageni
Habari

Mnyororo wa Biashara Kariakoo Unafanywa Na Wageni

Author
By Author
Share
3 Min Read
Na Lucy Lyatuu
WAZIRI wa Viwanda na Biashara Suleimani Jafo amesema taarifa  ya hali ya ufanyaji biashara katika soko la Kariakoo Dar es Salaam kati ya wageni na wazawa imebaini mnyororo wa thamani wa biashara unafanywa na wageni.
Aidha alisema ipo haja ya kupitiwa upya kwa sera ya uwekwzaji nchini pamoja na kufanya mabadiliko ya sheria ili kuhakikisha wageni wanaokaa nchini wasifanye  biashara zinazoweza kufanywa na wazawa.
Ripoti hiyo inatokana na Kamati iliyoundwa na  Rais Samia Suluhu  Hassan Februaei 2  ambapo Kamati ilimaliza kazi Maxhi 17 na kuwasilisha mapendekezo.
Akizungumza jana Dar es Salaam alipokutana na Kamati hiyo,wviongozi wa wafanyabiashara na waluu wa taasisi mbalimbali Jafo alisema  Mambo mengine yaliyobainika ni kuwa watanzania wanatoa taarifa zao kwa wageni ili kutengeneza kampuni.
Alisema kupitia taarifa hiyo ipo haja ya kuhakikisha watanzania wanaendelea kufanya kazi bila kuathiri demokrasia.
Alusema kupitia taarifa ya ripoti hiyo kutakuwa kunafanyika tathmini kila baada ya muda kyangalia hali ya utekelezaji wa mapendekezobyaliyotolewa  katika taarifa hiyo na kiwango kilichofikiwa.
“Kupitia tathmini hiyo ni ili kujua eneo fulani kulikuwa na changamoto gani na timu hiyo ya ufuatiliajia itaongozwa na makatibu wakuu ili kuona hatua zilizocvukuliwa zimefikia wapi.’, alisema.
Alisema viongozi pia watakuwa wanahakiki yale walitokybaliana na jinsi yanavyofanyiwa kazi kwa kywa Rais Samia anategemea suala hilo lipatiwe suluhu ya kudumu ili watanzania nao waweze kunufaikka.
” Taarifa hii iwe kioo kwa kila sekta nchi nzima, ” Alisema Jafo akitolea mfano sekta ya madini kuwa wachimbaji wadogo nao wamekywa wakitoa taarifa zao kwa wageni.
Alisema kupitia taarifa hiyo Watu 703 wamepewa adhabu mbalimbambali huku 257 wamefikisha taarifa zao za ukaazi, 4796 wameondoshwa nchini.
Alisema Kariakoo wageni 62 wameondolewa lengo kuisafisha iwe salama kwa wafanyabiashara iwe na manufaa kwa Taifa kwa ujumla.
Kwa upande wake Mkuu wa Mkoa Albert Chalamila alisema  hali iliyopo sasa siyo nzuri kwani kuna tishio la wazawa kunyanganyana fursa kwa sababu ya uwezo mdogo wa uchumi hivyo kilichopo kwa sasa asilimia kubwa  ya wageni hususani wachina n wengineo wanatumia majina ya wazawa.
 Chalamila aliomba nia iwekwe mbele  ili kulinda maslahi ya wazawa na wageni.
Akitoa taarifa ya Kamati hiyo Dkt.Suleiman Serera Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara
Alisema Hatua imeanza kuchukuliwa ambapo idara ya uhamiaji wamefanya ukaguzi maalumu wa wageni wanaoishi bila vibali nchini na waliobainika raia 7900 wamekamatwa.
Aidha alisema Brela wameanza kuzuia wageni wanaofanya biashara za wazawa huku ikifanya ukaguzi wa biashara kama zinafanana na za wazawa.

You Might Also Like

Wananchi Kutembea Mwendo Mrefu Kutokana Na Upungufu Wa Majengo

Wajumbe IPA Zanzibar Wafanya Ziara TEA

Waislamu Watakiwa Kusimamia Misingi Ya Upendo, Ushirikiano, Amani

TPHPA Yaelezea Vipaumbele Vyake

Chalamila Atoa Wiki Mbili Wafanyabiashara Ndogo Ndogo Kufungua Njia Kariakoo

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Kongamano La Kwanza La Kodi Kufanyika Dar es Salaam
Next Article Serikali Kukarabati Vituo Vyote Vya Kutolea Huduma Za Afya Kongwe
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

NSSF Yaendelea Kutoa Elimu Ya Hifadhi Ya Jamii ‘ Karibu Tukuhudumie’
Habari June 21, 2025
Wananchi Watakiwa Kutowachagua Watoa Rushwa
Habari June 19, 2025
Kihenzile: Mifumo Ijengwe Kuhakikisha Huduma Zinapatikana Kwa Haraka, Salama, Zenye tija
Habari June 19, 2025
MOI Yawasogelea Dodoma, Mikoa Jirani
Habari June 19, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?