MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Miaka Minne Ya Samia Na Sekta Ya Elimu
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Miaka Minne Ya Samia Na Sekta Ya Elimu
Habari

Miaka Minne Ya Samia Na Sekta Ya Elimu

Author
By Author
Share
2 Min Read

Na Danson Kaijage

DODOMA: WIZARA ya Elimu Sayansi na Teknolojia imefanya mapinduzi makubwa katika sekta ya elimu katika kipindi cha miaka minne ya Rais Samia Suluhu Hassan.

Kwamba katika kipindi hicho imeongeza bajeti kubwa kwa ajili uwezeshaji wa elimu ya Juu.

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia  Profesa Adolf Mkenda amesema hayo alipozungumza na Waandishi wa habari katika Ukumbi wa Idara ya Habari – MAELEZO kuelezea mafanikio ya miaka minne ya serikali ya awamu ya sita.

Amesema, “Ili taifa lolote liweze kuwa na maendeleo ni lazima lijengwe kwa misingi ya Elimu ambayo ina Sayansi na Teknologia ikiwa ni pamoja na ujuzi mbalimbali katika kuelewa mambo na kuzalisha kwa lengo la kuongeza uchumi wa nchi na uchumi wa mtu mmoja mmoja”.

Pia amesema kwa sasa mwanafunzi wa kitanzania atalazimika kusoma elimu ya lazima kwa miaka 10 ambapo akijiunga na kidato cha kwanza ataweza kujiunga na masomo ya Amali na Elimu ya Jumla.

amesema mwanafunzi atakayejiunga na masomo ya amali atajifunza masomo ya Ufundi na ufundi stadi pamoja na masomo mengine huku atakayejiunga na masomo ya jumla atajifunza masomo ya vitendo na masomo ya kawaida.

Vile vile amesema serikali imeanzisha somo la lazima ambalo kila mwanafunzi wa kidato cha kwanza hadi cha nne ni lazima ajifunze masomo ya ujasiliamali ikiwa ni pamoja na kuelewa umuhimu wa  Mamlaka ya Mapato Tanzania na namna ya umuhimu wa kusajili kampuni au biashara mbalimbali.

Kuhusu lugha amesema kwa sasa kuanzia darasa la kwanza wanafunzi wataweza kufundishwa lugha ya kiingereza bila kujali sheria za lugha hiyo ili kumjengea mtoto uwezo wa kujieleza.

Akizungumzia mikopo kwa Elimu ya Juu, amesema Wizara inatambua kuwepo kwa changamoto za utoaji mikopo na hiyo inatokana na ujazaji wa taarifa za mikopo lakini na kuona ni nani anastahili kupata mkopo bila upendeleo.

You Might Also Like

JAB Yatoa Mwezi Moja Kuthibitishwa, kupewa vitabulisho

Polisi wazuia uhalifu Tanganyika Packers

Matumizi Ya Baiteknolojia Nchini ni Madogo – Profesa Yanda

Programu Ya Mazoezi Kwa Watumishi Wizara YA Mambo Ya Ndani Yazinduliwa

Taasisi Za Dini Zinazofanya Biashara Zinatakiwa Kulipa Kodi

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Chalamila Atoa Wiki Mbili Wafanyabiashara Ndogo Ndogo Kufungua Njia Kariakoo
Next Article JMAT Yatoa Neno Yanayoendelea Kwa Vijana Wa Kenya
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

UDSM Yatafiti Ndege Nyuki ‘Drone’ Inayopunguza Uchafuzi Wa Hewa Ukaa
Habari May 29, 2025
Mtafiti UDSM Atafiti Mimea Ya Asili Kudhiti Fangasi Kwenye Mimea
Habari May 29, 2025
Ridhiwani Afanya Mazungumzo Na Balozi Wa China Nchini, Mingjian
Habari May 29, 2025
Kafulila: Deni La Taifa Ni Himilivu
Habari May 29, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?