MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Mdemu Awataka Wafanyabiashara Ndogo Ndogo Kuchangamkia Mkopo
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Mdemu Awataka Wafanyabiashara Ndogo Ndogo Kuchangamkia Mkopo
Habari

Mdemu Awataka Wafanyabiashara Ndogo Ndogo Kuchangamkia Mkopo

Author
By Author
Share
1 Min Read

Na Lucy Ngowi

DAR ES SALAAM: WAFANYABIASHARA ndogo ndogo wametakiwa kuchangamkia fursa ya mkopo wa serikali wenye masharti nafuu na riba ya asilimia saba kupitia Benki ya NMB.
Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Felister Mdemu ametoa rai hiyo alipozindua taarifa ya Utafiti kuhusu Waendesha Pikipiki Wanawake mkoani Dar es Salaam.
Mdemu amesema tayari serikali imetoa Sh. Bilioni nane kwa ajili ya kutoa mikopo hiyo.
” Mikopo hiyo inalenga kuimarisha uchumi wa wafanyabiashara ndogo ndogo ili waweze kukuza mitaji na kuboresha mazingira ya biashara.
” Muhimu kuelewa kuwa ili uweze kupata mkopo huo, sharti usajiliwe kwenye mfumo na kupatiwa kitambulisho cha kidijitali, ambacho kinakuwezesha kupata mkopo. Hivyo nendeni mjiandikishe kwenye Halmashauri kwa Maofisa Maendeleo ya Jamii,” amesema.
Amesema lengo la serikali ni kuhakikisha inaweka mazingira wezeshi na rafiki ili wafanyabiashara ndogo ndogo waweze kunufaika na fursa za kiuchumi na kijamii ikiwemo mikopo ya biashara kupitia taasisi za fedha.
Naye Katibu Mkuu wa Chama cha Wafanyakazi wa Mawasiliano na Uchukuzi Tanzania  (COTWU – T), Juliana Mpanduji amesema usafirishaji ni nguzo muhimu kwa uchumi wa taifa na tegemeo la uchumi wa dunia.

You Might Also Like

LATRA Kuwapiga ‘Stop’ Wasiokamilisha Utaratibu, Tiketi Mtandao

CMA yawataka wafanyakazi walioachishwa kazi kuwasilisha mgogoro ndani ya muda

LHRC Kushirikiana  Na JOWUTA Kuwajengea Uwezo Wanahabari Katika Masuala Ya Haki Zao Na Sheria Za Kazi

Mikataba ya Bilioni 50.9 Yasainiwa kuwezesha nishati safi ya kupikia

BRELA Yatwaa Tuzo Sabasaba

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Mpanduji Wa COTWU – T Aelezea Changamoto Zinazowakabili Waendesha Bodaboda, Bajaji
Next Article Wahamasika Kutumia Mbegu Bora Za Karanga Zilizofanyiwa Utafiti Na TARI
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Tume ya Kurekebisha Sheria Yaelimisha Umma Kuhusu Haki za Wanyama
Habari August 6, 2025
Bundi Wasaidia Kupambana na Panya: Teknolojia Asilia Inayobadili Maisha ya Wakulima
Habari August 6, 2025
Ofisa wa TARI Kuwapo Kila Kituo cha Umwagiliaji – Naibu Katibu Mkuu
Habari August 6, 2025
Mbinu Mpya za Kilimo kwa Vijana Zapata Umaarufu Nanenane Banda La VETA
Habari August 6, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?