MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Makala: Hakuna Kupita Bila Kupingwa
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Makala: Hakuna Kupita Bila Kupingwa
Habari

Makala: Hakuna Kupita Bila Kupingwa

Author
By Author
Share
1 Min Read
Na Lucy Ngowi

DAR ES SALAAM: KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Amos Makalla amewataka wagombea kutobweteka katika uchaguzi wa viongozi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika mwishoni mwa Novemba mwaka huu.

Makalla amesema hayo leo katika mkutano uliofanyika Wilaya ya Kinondoni Dar es Salaam.

“Pamoja na kwamba kuna dalili za wenzetu kutosimamisha wagombea maeneo mbalimbali, itakapotokea naomba nizungumze na wana CCM wa Kinondoni na nchi nzima, kwamba uchaguzi huu hauna kupita bila kupingwa msibweteke.

“Mmesikia chama Fulani kimesema tutahakikisha hata kama CCM ndio wameteuliwa, tutahakikisha kuhamasisha wananchi wanapowapigia kura za hapana.

“Na CCM tukasema wana CCM hatulali tuko imara, tutahakikisha pale ambako tuko peke yetu tutafanya kampeni za kuhakikisha wagombea wetu wanapata kura zote za ndio,”amesema.

Amesema wale wanaosubiri watasubiri kama mtu anayesubiri ndege bandarini badala ya kwenda uwanja wa ndege.

“Anayesubiri kumwangusha mgombea wa CCM kwa kura za hapana ni sawa na mtu anayesubiri ndege bandarini badala ya uwanja wa ndege, “amesema.

You Might Also Like

UDSM Yaipaisha Lugha Ya Kichina kwa Kuanzisha Digrii Ya Awali Ya Kichina, Kiingereza

TASAC yajipanga kuhudumia wafanyabiashara

Utafiti Wa Roketi UDOM Uko Mbioni Kukamilika

Mikataba ya zaidi ya bilioni 50 kuhamasisha nishati salama

Bashungwa Asema Wafungwa Kupewa Mafunzo Ya Ufundi Stadi

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article CCM yavunja rekodi – Makala
Next Article Makalla Aeleza Jinsi CCM Ilivyosimamisha Nchi Mchakato Kura Za Maoni
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Nishati Safi Kwa Kila Mtanzania Inawezekana – Saidy
Habari August 7, 2025
Bodi ya Maziwa Yatoa Mafunzo ya Ubora, Usalama wa Maziwa Katika Maonyesho ya Nane Nane
Habari August 7, 2025
Balozi wa Tanzania Nchini Italy Afurahishwa  Ubunifu wa TPHPA Maonesho ya Nanenane
Habari August 7, 2025
Wadau Wakaribishwa Kuwekeza Katika Uchakataji, Biashara ya Mkonge Nchini
Habari August 7, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?