MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Maeneo ya hifadhi yalindwe na kutunzwa – Rais Samia
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Maeneo ya hifadhi yalindwe na kutunzwa – Rais Samia
Habari

Maeneo ya hifadhi yalindwe na kutunzwa – Rais Samia

Author
By Author
Share
2 Min Read
Na Mwandishi Wetu, Morogoro
RAIS Samia Suluhu Hassan ameagiza madiwani na wabunge wenye tabia ya kuanzisha Vijiji ndani ya maeneo ya hifadhi katika kipindi cha kuelekea  uchaguzi kuacha tabia hiyo.
Badala yake amewataka viongozi na Serikali kutunza na kuyalinda maeneo ya hifadhi kwa faida ya kizazi cha sasa na baadae.
Ameyasema hayo leo  alipokuwa akizungumza na wananchi katika mkutano wa hadhara kwenye Uwanja wa CCM Ifakara, Wilaya ya Kilombero Mkoani Morogoro .
“Inapokaribia kipindi cha uchaguzi hasa Madiwani na Wabunge mtu akiona hayuko vizuri kwenye eneo lake anasogeza watu kuanzisha Kijiji halafu ni haohao wanaokuja kusimama kuwatetea watu walioingia ndani ya hifadhi. Ndugu zangu wanasiasa wenzangu acheni haya” amesema Rais Samia.
Amefafanua kuwa maeneo hayo yanahifadhiwa kwa makusudi maalum kwa faida na maendeleo ya nchi kwa sababu watu wanaongezeka lakini ardhi haiongezeki hivyo ni lazima kuwa na ardhi iliyohifadhiwa kwa matumizi ya baadae
Rais Samia ameielekeza Wizara ya Maliasili na Utalii kuhakikisha inahifadhi na kulinda maeneo inayoyasimamia na si kusubiria wananchi wavamie kisha kuwatoa.
“Mpaka wananchi wanahamia wanajenga shule, kituo cha afya bado mnawaangalia baadae wameshatulia ndio mnawaambia watoke wamevamia, hii nayo sio haki” Rais Samia amesema.
Rais Samia yuko Mkoani Morogoro kwa ajili ya ziara ya kikazi ya kuzindua na kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo na kuangalia utekelezaji wake pamoja na kuzungumza na wananchi.

You Might Also Like

TPHPA Kuipokea Ndege Yake

Rais Samia aungwa mkono na Tughe, watalii 800 watua Ngorongoro

Watumishi wa Umma Watakiwa Kuwa na Nidhamu, Ubunifu

Mchengerwa Awafunda Walimu

TFRA yazindua Chama cha wafanyabiashara wa Mbolea

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article TAKUKURU kuelimisha madhara ya rushwa wakati wa uchaguzi
Next Article Tigo yawafikia wakulima, wafugaji. Wavuvi nanenane Dodoma
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

NSSF Yaendelea Kutoa Elimu Ya Hifadhi Ya Jamii ‘ Karibu Tukuhudumie’
Habari June 21, 2025
Wananchi Watakiwa Kutowachagua Watoa Rushwa
Habari June 19, 2025
Kihenzile: Mifumo Ijengwe Kuhakikisha Huduma Zinapatikana Kwa Haraka, Salama, Zenye tija
Habari June 19, 2025
MOI Yawasogelea Dodoma, Mikoa Jirani
Habari June 19, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?