MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Maabara Ya Mkemia Mkuu Yashauri Wajasiriamali Wa Kemikali
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Maabara Ya Mkemia Mkuu Yashauri Wajasiriamali Wa Kemikali
Habari

Maabara Ya Mkemia Mkuu Yashauri Wajasiriamali Wa Kemikali

Author
By Author
Share
1 Min Read
Na Lucy Lyatuu
MAMLAKA ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali (GCLA) imewashauri wajasiriamali
wanajishughilisha na shughuli za kemikali bila usajili
 kutembelea maonesho ya Biashara ya Kimaraifa maarufu kama Sabasaba  Ili kupewa maelekezo ya taratibu zakufuata ili kukamilisha usajili.
Akizungumza katika viwanja vya maonesho ya Sabasaba Mkurugenzi wa Huduma za Uchunguzi wa Bidhaa na Mazingira Dk.Peter Shimo amesema mamlaka hiyo ipo katika maonesho hayo kwa ajili yakuendelea kutoa elimu ya masuala mbalimbali hasa ya katika masuala ya kemikali.
Amesema inawataka wajasiriamali wanaojishughulisha na kemikali kufika katika Maonesho ili kuweza kupata elimu kuhusu kemikali pamoja na kufanya usajili wa bidhaa hiyo
Amesema Huduma wanazozitoa  ni pamoja na  usajili wa kemikali kwa maana kwamba ,wahusika wanaofika katika Banda hilo wanapata elimu kuhusu shughuli zinazofanywa na Mamlaka hiyo lakini pia kuhusu  usajili wa wajasiriamali wanaojihusisha na masuala ya  kemikali.
Amesema mamlaka pia ina mfumo wa kusajili wajasiriamali mtandaoni kwa ajili ya watu ambao wapo mbali na watoa huduma hiyo.
 “Ambao wapo mbali  na ofisi zetu nao waje hapa kwenye banda ili wapate usajili kwa njia ya mtandao,”amesema.
Amesema  lengo la GCLA ni kuhakikisha jamii inapata elimu ya kemikali na mambo mengine yanayohusiana na mamlaka  katika maeneo yote.

You Might Also Like

Katibu Mkuu CCM Dkt. Nchimbi Akutana na Katibu Mkuu CRC

PSSSF Yaanza Kulipa Mafao Kwa Kikokotoo  Kipya Kilichoboreshwa – Ridhiwani

Mashimba: Tumieni Siku Zilizobaki Kujiandikisha

Ridhiwani Kikwete Kuzindua Miradi ya Maendeleo Songwe

Jeshi la polisi kuchukua tahadhari mechi ya Simba, Yanga leo

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Wizara Ya Kilimo Yajipanga Vema Maonesho ya Kimataifa Ya Biashara
Next Article Rais Mwinyi Ajionea Mifumo Mbalimbali Banda La Ofisi Ya Waziri Mkuu Sabasaba
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Mashine Kusaidia Uuzaji Vinywaji Bila Muuzaji
Habari July 8, 2025
Tanzania Yafungua Milango Ya Biashara Na Jumuiya Ya Ulaya
Habari July 8, 2025
Rais Mwinyi Ajionea Mifumo Mbalimbali Banda La Ofisi Ya Waziri Mkuu Sabasaba
Habari July 7, 2025
Wizara Ya Kilimo Yajipanga Vema Maonesho ya Kimataifa Ya Biashara
Habari July 7, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?