MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Katibu Mkuu Ahimiza Uzalendo Na Uadilifu Kwa Wanachama wa Ewura CCC
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Katibu Mkuu Ahimiza Uzalendo Na Uadilifu Kwa Wanachama wa Ewura CCC
Habari

Katibu Mkuu Ahimiza Uzalendo Na Uadilifu Kwa Wanachama wa Ewura CCC

Author
By Author
Share
2 Min Read

Na Mwandishi Wetu

KATIBU  Mkuu wa Wizara ya Nishati,  Felchesmi Mramba, ametoa wito kwa wajumbe wa Baraza jipya la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA Consumer Consultative Council – EWURA CCC) kuwa na nidhamu, uzalendo na uwajibikaji  katika majukumu yao, ili kuongeza ufanisi wa kazii na kuleta manufaa kwa wananchi.

Akizungumza jijini Mwanza wakati wa uzinduzi wa Baraza jipya la tatu la EWURA CCC pamoja na mafunzo kwa wajumbe wapya,  Mramba amewahimiza wajumbe hao kufanya kazi kwa ushirikiano na kuweka mbele maslahi ya taifa.

“Ni muhimu kila mjumbe kuwa mfano wa uwajibikaji na uadilifu. Baraza hili lina jukumu kubwa la kusikiliza na kuwasemea watumiaji wa huduma za nishati na maji, hivyo nidhamu na uzalendo ni nguzo kuu za mafanikio.” Amesema  Mramba

Habari Picha 9989

Kwa upande wake, Katibu Mtendaji wa EWURA CCC,. Stella Lupimo, amesema mafunzo hayo yanalenga kuwajengea uwezo wajumbe wapya ili waweze kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi, hususan katika kusimamia masuala yanayohusu haki na usalama wa watumiaji wa huduma hizo.

Habari Picha 9990

Naye Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkuu wa EWURA,  Poline Msuya, amesisitiza umuhimu wa ushirikiano kati ya wadau wote wa sekta ya nishati ili kuhakikisha upatikanaji wa huduma bora, nafuu na endelevu.

Kwa upande wake, Mwenyekiti wa Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Nishati na Maji,  Hassan Minga, ameahidi kuwa baraza hilo jipya litajikita zaidi katika kusikiliza changamoto za wananchi na kuzifikisha kwa mamlaka husika kwa ajili ya utatuzi.

Habari Picha 9991

Uzinduzi wa baraza jipya la tatu la EWURA CCC na mafunzo hayo ni sehemu ya mkakati wa serikali wa kuimarisha uwajibikaji, uwazi na uadilifu katika usimamizi wa sekta za nishati na maji, ili kuleta tija na maendeleo kwa jamii.

You Might Also Like

TMDA Kudhibiti Bidhaa Za Tumbaku Ili Wananchi Wasiendelee Kupata Madhara

Dkt Biteko Awasili Barbados Kunadi Nishati Safi Kimataifa

VETA: Miaka 30 ya Kuinua Ujuzi na Kuunda Wataalamu wa Kesho

Trilioni 1.3  Zatumika Kuboresha Afya Ya Msingi Nchini

Askari wa Jeshi La Uhifadhi Kusini Wakumbushwa Wajibu

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Waziri Mkuu Ashiriki Kumuombea Baba Wa Taifa
Next Article Serikali Yaendesha Warsha Kujenga Ushirikiano Na washirika Wa Maendeleo  
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

ARTICLE 19,  JOWUTA KUSHIRIKIANA KUIMARISHA HAKI ZA WANAHABARI
Habari October 18, 2025
Profesa Ndunguru Aongoza Kikao Cha Mawaziri Wa DLCO- EA Akimwakilisha Bashe
Habari October 17, 2025
Mgombea NCCR-Mageuzi Awaasa Watanzania Wasikubali Propaganda
Habari October 17, 2025
Profesa Nombo: Ushirikiano wa VETA, Sekta Binafsi Waimarisha Mafunzo ya Ufundi Stadi
Habari October 17, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?