MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Kasulu Yatoa Mafunzo Utumiaji wa Mfumo Wa Kieletroniki Kwa Wakuu wa Divisheni, Vitengo
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Kasulu Yatoa Mafunzo Utumiaji wa Mfumo Wa Kieletroniki Kwa Wakuu wa Divisheni, Vitengo
Habari

Kasulu Yatoa Mafunzo Utumiaji wa Mfumo Wa Kieletroniki Kwa Wakuu wa Divisheni, Vitengo

Author
By Author
Share
2 Min Read
Na Mwandishi Wetu
KIGOMA: WAKUU wa Divisheni na Vitengo katika Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma, wamepatiwa mafunzo ya utumiaji wa Mfumo wa Kieletroniki yenye lengo la kuongeza ufanisi katika majukumu yao.
Aidha mafunzo hayo ya matumizi ya mfumo huo yataongeza ufanisi wa uandaaji na uendeshaji wa vikao jambo litakalo punguza gharama za maandalizi yake.
Ofisa TEHAMA wa halmashauri hiyo Jamal Sompole ambaye ni mwezeshaji wa mafunzo hayo ameeleza.
“Mfumo tukiufahamu vyema utasaidia halmashauri kuokoa fedha nyingi zilizokuwa zinatumika kuandaa makabrasha kwa kuwa taarifa zote hizo zitakuwa katika mfumo na madiwani na wataalam kuwa na uwezo kuzipakua huko,” amesema.
Naye mwezeshaji mwingine wa mafunzo hayo, Fiona Emmanuel amesema mfumo huo utasaidia kuokoa muda na gharama za kusambaza makabrasha kwa kuwa hivi sasa inawalazimu kuyafikisha katika kata zote 21 zilizopo katika halmashauri.
Ofisa Biashara wa Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu, Renaltus Kavishe  amesema mfumo huo ukieleweka vizuri utasaidia kurahisisha mawasiliano baina ya watumishi kwa watumishi au watumishi na madiwani kwa kuwa mambo yote muhimu yanayowahusu yapo ndani.
Naye Mkuu wa Idara ya Afya,Lishe na Ustawi wa Jamii wa halmashauri hiyo, Dkt. Chacha Tubeti amesema mfumo huo utasaidiia idara kuwa na uwezo wa kupata taarifa  mapema popote mtumiaji atakapokuwa, jambo litakaloboresha utoaji wa huduma kwa wananchi.

You Might Also Like

Ujenzi wa Majengo Mapya 67 Ya Halmashauri Yamekamilika-Mchengerwa

VETA Yapaa Miaka Minne Ya Rais Samia

Chinyeli Aahidi Chakula Bure kwa Wazee, Mwanyemba Kupambana Kutafuta Maendeleo

UDSM Imekuja Na App Inayounganisha Wakulima na Watoa Huduma za Kilimo kwa Haraka

Mtindi wa Korosho, Stafeli Wafanyiwa Utafiti UDSM

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article OUT Yawapiga Msasa Watumishi Wa Mamlaka Za Serikali Za Mitaa
Next Article TRAWU Yazindua KAMPENI ya Afya Na Usalama Mahali Pa Kazi
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Waziri Mkuu Majaliwa Akabidhi Tuzo kwa BoT Geita
Habari September 22, 2025
BoT Yarahisisha Uuzaji wa Dhahabu kwa Wachimbaji, Yatoa Punguzo La Mrabaha
Habari September 22, 2025
Waziri Mkuu Apongeza Huduma Kidijitali za NSSF, Maonesho Ya Madini Geita
Habari September 22, 2025
Mkuu Wa Mkoa Shinyanga Asifu Kazi Ya Bodi Bima Ya Amana
Habari September 22, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?