MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Kamati Ya Bunge  Yaridhishwa Na Ujenzi Wa Jengo La Kituo Cha Zimamoto, Mtumba
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Kamati Ya Bunge  Yaridhishwa Na Ujenzi Wa Jengo La Kituo Cha Zimamoto, Mtumba
Habari

Kamati Ya Bunge  Yaridhishwa Na Ujenzi Wa Jengo La Kituo Cha Zimamoto, Mtumba

Lucy Ngowi
By Lucy Ngowi
Share
1 Min Read
Na. Mwandishi Wetu
KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama imetembelea na kukagua ujenzi wa jengo la kituo cha Jeshi la Zimamoto na Uokoaji lenye thamani ya sh. bilioni 1.9 katika Mji wa Serikali Mtumba, Dodoma.
Akizungumza baada ya kukagua mradi huo Mwenyekiti wa Kamati hiyo ya Bunge, Vita Kawawa  pamoja na ujumbe wake amesema  wameridhishwa na maendeleo ya ujenzi wa kituo hicho na kupongeza mradi huo kwa kuzingatia  mambo ya muhimu kwa mahitaji ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji .
Amesema mambo yaliyozingatiwa ni pamoja na ujenzi wa kisima cha maji kikubwa na uwepo wa  tenki la akiba la kuhifadhi maji la lita laki moja na nusu.
Awali akitoa tarifa ya ujenzi wa jengo hilo, Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji (CGF) John Masunga amesema ujenzi huo ulianza Aprili 2024 ambao unagharamiwa na fedha za Serikali umefikia asilimia 50.53, huku ukitumia asilimia 34.24 ya fedha zilizotolewa.

You Might Also Like

JOWUTA Yawasilisha Ripoti ya Ukaguzi kwa Msajili

VETA Yatembelea Kiwanda Cha Kutengeneza Nyumba Bila Kutumia Tofali

SUA Chatumia Ngamia Mafunzo Ya Vitendo Kwa Wanafunzi

Mwalim: Nitarudisha Hadhi ya Dar es Salaam Kama Jiji Kamili

Katibu Mkuu Kiongozi Zanzibar Atoa Rai Kuhusu Afya ya Akili kwa Vijana

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article Wananchi Wahimizwa Kulinda Maeneo Yaliyohifadhiwa  Kisheria- Kamishna  Wakulyamba
Next Article Mume na Mke Wafariki Kwa Wivu Wa Kimapenzi
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Vitabu Vya Sauti Kuvutia Vijana, Serikali Yapongeza Ubunifu Wa Mkuki Na Nyota
Habari November 22, 2025
Ubora Wa E & D Vision Publishing Wamkuna Waziri Kabudi Maonyesho Ya Vitabu Dar
Habari November 22, 2025
Kabudi: Vitabu Ni Tiba, Atoa Wito Kuimarisha Maktaba, Uchapaji 
Habari November 22, 2025
Kwagila Awataka Wasimamizi Wa Elimu TAMISEMI Kuwajibika Kikamilifu
Habari November 21, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?