MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
Magazeti
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Habari Mpya
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Chagua hapa
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
  • Advertise
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Reading: Kamati Ya Bunge Yahimiza Maslahi Ya Watumishi Wapya Yazingatiwe
Share
Notification Show More
Font ResizerAa
Font ResizerAa
MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Search
  • Home
  • Habari
  • Mfanyakazi
  • Magazeti
  • Bookmarks
Follow US
© 2022 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
MFANYAKAZI TANZANIA > Tovuti > Habari > Kamati Ya Bunge Yahimiza Maslahi Ya Watumishi Wapya Yazingatiwe
Habari

Kamati Ya Bunge Yahimiza Maslahi Ya Watumishi Wapya Yazingatiwe

Author
By Author
Share
1 Min Read

Na Mwandishi Wetu

KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya TAMISEMI imeiomba serikali kuendelea kuboresha maslahi ya watumishi na kuwalipa stahiki zao, hususan kwa watumishi wapya, ili waweze kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi.

Mwenyekiti wa Kamati hiyo,  Justin Lazaro Nyamoga ametoa kauli hiyo wakati wa ziara ya kukagua mradi wa Hospitali Mpya ya Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza ambayo ni miongoni mwa hospitali mpya 129 zilizojengwa na serikali kupitia Ofisi ya Rais – TAMISEMI.

“Suala la watumishi katika baadhi ya mikoa, ikiwemo Kigoma, ni changamoto. Kamati inasisitiza mambo mawili: kuongeza watumishi hasa pale fursa zinapojitokeza, na kuhakikisha malipo stahiki yanatolewa kwa watumishi wapya na wanaohama ili kuwapa moyo wa kufanya kazi kwa bidii,” amesema  Nyamoga.

Aidha,Kamati hiyo imetoa maelekezo kwa Ofisi ya Rais – TAMISEMI kuhakikisha jenereta kubwa linapelekwa katika Hospitali ya Wilaya ya Uvinza, kwani lililopo sasa halina uwezo wa kusambaza umeme kwa hospitali nzima.

Kwa upande wake, Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Zainab Katimba, akizungumza kwa niaba ya Waziri wa Nchi, Mohamed Mchengerwa, ameahidi kuyafanyia kazi maelekezo ya kamati huku akiwataka watumishi wa umma kuendelea kutoa huduma bora kwa wananchi.

 

 

You Might Also Like

Miradi ya maedeleo na Huduma za afya isimamiwe kwa ukaribu

Waziri wa Vijana akutana na Mwita wa Zanzibar

Chalamila: Ujenzi Daraja La Jangwani Waanza

OUT Yawapiga Msasa Watumishi Wa Mamlaka Za Serikali Za Mitaa

Bodi ya Bima ya Amana Yatoa  Bil 9.07 , Fidia Kwa Wateja Wa Benki Saba   Zilizofilisika

Share This Article
Facebook Twitter Whatsapp Whatsapp Email Copy Link Print
Previous Article SEforALL Kuimarisha Ushirikiano Upatikanaji Nishati Endelevu
Next Article Wajumbe IPA Zanzibar Wafanya Ziara TEA
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

235.3kFollowersLike
69.1kFollowersFollow
11.6kFollowersPin
56.4kFollowersFollow
136kSubscribersSubscribe
4.4kFollowersFollow
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest News

Mgodi Wa Dhahabu Wa Nyanzaga Kunufaisha Wananchi, Ujenzi Wazidi Kupaa
Habari September 23, 2025
Sekta Ya Madini Yazidi Kuchangia Ukuaji Wa Uchumi – Majaliwa
Habari September 23, 2025
Waziri Mkuu Majaliwa Akabidhi Tuzo kwa BoT Geita
Habari September 22, 2025
BoT Yarahisisha Uuzaji wa Dhahabu kwa Wachimbaji, Yatoa Punguzo La Mrabaha
Habari September 22, 2025
//

To be acknowledged as Africa’s premier and most reliable digital media network, delivering exceptional content across all our platforms by 2025.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

MFANYAKAZI TANZANIAMFANYAKAZI TANZANIA
Follow US
© 2024 Mfanyakazi Tanzania. All Rights Reserved.
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?